Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Tusi ni tusi tu, kwani lusinde alifanyaje, au nayeye ataviita vilikuwa viunganishi?hapa labda tupate orodha ya MATUSI...wengine tunatumia kama viunganishi na vivumishi!...
duh . . .
Hatutaki hata ambaye alishawahi fanya matusi.
Yaani hapa panatakiwa kuwa matusi free zone.
Heheeehh DEFINE: "KUFANYA MATUSI"
Una uhakika? Hujawahi hata kusema "mimi mjinga" yaani mimi!?Haya fanyeni mnitunuku hiyo TUZO YANGU...
huoni ni bora kutukana kuliko kufanya??
Kufanya ndo mbaya zaidi.
Hata mie sijui definisheni.
huoni ni bora kutukana kuliko kufanya??
Kufanya ndo mbaya zaidi.
Hata mie sijui definisheni.
Una uhakika? Hujawahi hata kusema "mimi mjinga" yaani mimi!?
Happy to see you back Kongs....
Sa si mnitunuku tuu mbona huitaji kuwa na phd kujua kuwa mi ndo nastahili?
Janjaweed, bado!mimi....