Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Erickb52

Hapa utani pembeni...hata kama tuko chit chat.
 
Hujambo SL? Wale ndugu zako wa vietnam wazima?
Usitukane wala usisikie matusi ...asema bwana mola wako
Sijambo bht! Ndugu zangu hawajambo kabisa,

hehehe situkani wala sisikii kamwe!
 
Sijambo bht! Ndugu zangu hawajambo kabisa,

hehehe situkani wala sisikii kamwe!
nafurahi kusikia hivyo...

Kiukweli bana kuna majukwaa watu wanakuwa provoked lakini they keep their cool aisee... Kule kwenye siasa na yanayofanana na hilo.

MMU na 'cheaters' ni rare cases...lol
 
Mie naomba niji-nominate. Sijawahi kupigwa ban wala kutukana, ila huwa mchokozi mara chache tu lol!
 
Hivi huyo B.I.K.R.A wa matusi hajapatikana...nipeni mimi acheni UUUUS....ala nataka kutukana tena!..
 
Mie naomba niji-nominate. Sijawahi kupigwa ban wala kutukana, ila huwa mchokozi mara chache tu lol!

Yaani hata mimi,sijawahi kulambwa ban kwenye ID zangu zote kumi!

Ila nimewahi kugombana na jamaa mmoja hivi,nadhani Lizzy anakumbuka... Alinikorofisha sana... Ila sikutumia matusi ya ndani ya nguo!
 
Back
Top Bottom