Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Asante sana bwana mdogoNampendekeza Erickb52....
Pia nawasalimu katika jina la UPENDO, FURAHA NA AMANI
Asante sana bwana mdogoNampendekeza Erickb52....
Pia nawasalimu katika jina la UPENDO, FURAHA NA AMANI
Dah safi sana kwa kuliona hilo....Tafadhali msiwahonge mawakala!!!Nahisi kama Erickb52 atatangazwa baada ya muda mfupi!!!!
Ok sawa nipigie upatu mkuu maana nafaa sana....Weye kijana Erickb52 mie nakupigia upatu wa zawadi, pia kuna mtu ka-hack account yangu, ngoja nimfuatilie na nita mhack mpaka fb kwake.
Dah mkuu una upeo sana kwa kunijua nilivyo....Ahahahaha Erickb52 ni mtu safi kama mchanga wa ufukweli vile
Bishanga uko sahihi sana....Big up sana kiongozi wa wahayaNao yua toking! Hope Erickb52 ni nafasi yake maana kijana katulia sana
Nimeipokea mkuu...ThanksKIFWANYIO kilinikuta nipo! Chenyewe kikalipenda jina la Erickb52 kikaligeza! Nampa kura yangu bana
nashukuru kwa kueleza ukwelimimi Erickb52 si mwaminifu, nachakachua post za watu, NAFAA KUWA MCHAKACHUAJI BORA WA MWAKA
Well....ni jambo jema BHT..Asante sanaHujambo SL? Wale ndugu zako wa vietnam wazima?
Usitukane wala usisikie matusi ...asema bwana mola wako...Iga mfano wa Erickb52 ambae ndo mshindi mtarajiwa
Angel hujaenda kanisani ndo maana unaonekana huna upako leo....Fumba macho nikuombee....nashukuru kwa kueleza ukweli
Afrodenzi uko juu mama....Zawadi nini??
Mi nampendekeza Erickb52 ...
ee baba Mungu wa mbinguni, mwondolee mapepo aliyonayo kijana wako huyu, aasharakata sharakata, obosarakati ombosadiki,...mimi Erick52 sijaenda kanisani ndo maana naonekana sina upako leo....nafumba macho mniuombee....
Hahahahahaha yaani we Erick weweAfrodenzi uko juu mama....
Asante sana....Zawadi yako nitampa Black Woman akupe...sawa eee
vigezo na masharti kuzingatiwa
ee baba Mungu wa mbinguni, mwondolee mapepo aliyonayo kijana wako huyu, aasharakata sharakata, obosarakati ombosadiki,...
Tafadhali msiwahonge mawakala!!!Nahisi kama ntatangazwa baada ya muda mfupi!!!!
Ameeeen!ee baba Mungu wa mbinguni, mwondolee mapepo aliyonayo kijana wako huyu, aasharakata sharakata, obosarakati ombosadiki,...
Haaaa kwani hamnipendekezi?Hahahahahaha yaani we Erick wewe
Mchakachuzi kweli loohhhh ...
Teh teh milidhani ni sisiemu tu...lolB52 amehonga hadi tume ya uchaguzi.....
Hahahaaa aisee kanigeuzia kibao..Hahahahahaha lol.. Angel umenichekesha kweli ..
Teh teh milidhani ni sisiemu tu...lol
Siku hizi kila mahali ni kuchakachua tu