Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

yaani sikuwezi...
Imebidi niwe mpole tu....
Najua nitapata kura 1 tu.....
Na kampeni meneja wako jana usiku walifumwa wakitembeza vibahasha.....

Nimejaribu kushindana nao nimeshindwa.....

Nakuachia ushindi.... Heri nijiunge kambi yako nitaambulia chenji loh
Hahahaaa huku ndo kwenyewe siunajua mambo ya hericopta kurudi reverse ni kwa nadra sana?
Hapa ni full ushindi hata wabane lazma kieleweke....
Kampeni manager wangu Sweetlady keshatoka kanisani tayari kwa kazi...
Upande wa sala yuko Angel Msofe a.k.a mama mchungaji....yaan full maombi....
 
Nitakata rufaa Erick akishinda
M bona huwa anaonekana sana kwenye lile jukwaa la wafanya matusi
 
Nitakata rufaa Erick akishinda
M bona huwa anaonekana sana kwenye lile jukwaa la wafanya matusi
Hahahahaaa Mr Rocky kule ruksa ndo maana ni mafichoni....kule hakuna kutukana ila mnaongea kijukwaa jukwaa tatizo ni huku jumuiani ambako hapafai kutukana hata kidogo....
Sasa huku ndo napatia ushindi....
Nipe kura yako basi...
 
ushaanza uchakachuajh. We ni nouma aisee. Dadadeyki
Dogo tatizo lako una fitna hadi kwenye ukweli....
Hapa ukweli ndio huo.....im the Best ingawa najua shemeji yako ananifunika
 
Hahahahaaa Mr Rocky kule ruksa ndo maana ni mafichoni....kule hakuna kutukana ila mnaongea kijukwaa jukwaa tatizo ni huku jumuiani ambako hapafai kutukana hata kidogo....
Sasa huku ndo napatia ushindi....
Nipe kura yako basi...

hata humu we huwa unatukana. Hupat kura nimeona matus yako ktk jukwaa lnaloogoza kwa kuzalsha ban
 
Hauna lolote wewe. Ukishnda nitaitisha maandamano ya kupinga ushndi wako.

Dogo tatizo lako una fitna hadi kwenye ukweli....
Hapa ukweli ndio huo.....im the Best ingawa najua shemeji yako ananifunika
 
hata humu we huwa unatukana. Hupat kura nimeona matus yako ktk jukwaa lnaloogoza kwa kuzalsha ban
Hahahaaaa lile jukwaa huwezi pita bila kupoteza moody....
Ndo maana huwa nalikwepa sana....
Muulize Kongosho anajua...kaamua kuhamia jukwaa la Matangazo madogo madogo ambako anajua hatakula Bann na hakuna Stress
 
hahahaha. Mle hapafaia. Mi huwa nawepo mle kwa tahadhari kubwa. Kwan ban inaumaje?
 
we unataka nitukane ili nicwepo kwenye mtanange. We haufai hata kduchu.
Wewe mbona hata usipotukana hupo....
hapa hakuna mtanange maana mimi tayari nishapigiwa kura na jamii nzima....
 
Back
Top Bottom