Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Usiwasikilize hao ni wapinzani wangu....mimi ni clean sana....
Huyu mtei One nishamzoea maana kwanza huwa ana bifu sana na familia yangu akishirikiana na Bagah...
So wasikuumize kichwa

Ngoja kwanza.
Naona tuhuma nyingi juu yako zinaibuliwa
Mara cha pombe, mara mvizia wake za watu kama yule jamaa yule wa magamba, mara mpiga chabo, mara mzee wa ban.
Ngoja tuhuma zithibitishwe kwanza maana ukishatoa kura huwezi kuweka rivazi kwenda kuitoa
 
kwani uongo?
Naona unaitafuta Bann kwa nguvu....
Itakuhusu...
Siku hizi wanaangalia nani alianzisha maneno kumpandisha mwenzie hasira ndo wanamlima bann coz aliyetukana hakukusudia ni hasira..ila mwenye makosa ni yule aliyeleta chokochoko...so Look Very kijana
 
Ngoja kwanza.
Naona tuhuma nyingi juu yako zinaibuliwa
Mara cha pombe, mara mvizia wake za watu kama yule jamaa yule wa magamba, mara mpiga chabo, mara mzee wa ban.
Ngoja tuhuma zithibitishwe kwanza maana ukishatoa kura huwezi kuweka rivazi kwenda kuitoa
Yan hawa jamaa naona sera zao ni kama za Lusinde kule Arumeru maana wanaleta maneno ya kashfa juu yangu....
Ila sina tatizo kwa kuwa hata Ng'wanakidiku anauona ukweli na amegundua hawa jamaa hawana nia njema na hizi tuzo..so anawapoteza na atanitangaza mimi....
 
Hili tusi jipya hili mpaka haliandikiki
Naona kura yangu inazidi kupeperushwa
Hahahaaaa naona dogo Mtei anaanza kuharibu mlo wangu...
Ngoja nikamtafute best yake Bagah aje amtoe ampeleke jukwaa la Matangazo madogo madogo ndo kunamfaa!
 
Ushaha huu unaweka katika ktengo maalumu ili kujua ni matusi gan mengne umeyaandka kabla ya hlo "Crazy". Zawadi haikufai.
We ngoja Bagah anakuja kukutoa haa maana naona unaniweekea kiwingu....
Umeniingilia kwa wife tukayamaliza kifamilia sasa naona unaanza na huku kwenye ulaji....
Shauri yako....ntaenda Loliondo ile kwako
 
Nshaenda church. We c umeamkia bar ndo maana unatukana hovyo.
 
Hivi kama mtu ana nyumba ndogo anastahili bado kupata tuzo? Manake Eric najua una small house 2, na kubwa huna. (Afu si tulipatana unaniachia kikombe tutamalizana fb?)
 
Nshaenda church. We c umeamkia bar ndo maana unatukana hovyo.
Yan weweeeee Dah
Kweli nimekukubali aisee.....
Haya maneno yako wala hayajaja sehemu muafaka hata kidogo!
Lol ushindwe na ulegee kabsaaaa
 
Hivi kama mtu ana nyumba ndogo anastahili bado kupata tuzo? Manake Eric najua una small house 2, na kubwa huna. (Afu si tulipatana unaniachia kikombe tutamalizana fb?)
Hahahaaa King'asti usiingie kundi la Mtei One....
Mtaniharibia jamani....Naomba kesi yetu na wewe tuimalize kwenye PM maana tutawanufaisha wanajamii hasa huyu dogo mdaku(Mtei)
 
Hahahaaa King'asti usiingie kundi la Mtei One....
Mtaniharibia jamani....Naomba kesi yetu na wewe tuimalize kwenye PM maana tutawanufaisha wanajamii hasa huyu dogo mdaku(Mtei)

kumbe unadosari enheee nilikuwa sijui khaaa..
 
Back
Top Bottom