Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

na hii tena nayo imeundwa nini..
Yan hawa jamaa wananiundia fitina za hatari....
Ila bado mi kinara wa kinyang'anyiro na naamini ntaibuka kidedea bila kujali yaliyonisibu wakati wa mchuano
 
Mie na weye tunazuriana kwani? Uje uchague manake zingine zinakuja na kontena zinakata maji huko! Aisee, wazungu wanalipa kishenzi, ndo maana muke ya muzungu pua inaangalia juu kama kalala kwenye jeneza!
Hahahahaha! Yaani wewe una kesi ya kujibu, sijui kama ntakusamehe mwaka huu! Nataka zawadi za vekesheni lol.
 
Yan hawa jamaa wananiundia fitina za hatari....
Ila bado mi kinara wa kinyang'anyiro na naamini ntaibuka kidedea bila kujali yaliyonisibu wakati wa mchuano
Usinisahau kwenye ufalme wako!
 
Mie na weye tunazuriana kwani? Uje uchague manake zingine zinakuja na kontena zinakata maji huko! Aisee, wazungu wanalipa kishenzi, ndo maana muke ya muzungu pua inaangalia juu kama kalala kwenye jeneza!
Hahahaha!

Mke mwenza una mkwara eti znakata maji lol...hebu ntafutie ka small house ka kidhungu nijinafasi labda pua yangu nayo itabadili mwelekeo tehe!
 
Wadau, waungwana, Great Thinkers:
Naamini wazima na Jumapili inaenda vema....
Matokeo ya Kinyang'anyiro ni kama ifuatavyo:
Erickb52.......92%
King'asti...........Alijitoa mapema
Bagah..............0%....ana majungu sana hasa kwa Erickb52
Mtei One..........0%....Alimletea fitina Erickb52
Kongosho...........0% Alikula ban kwa kutukana
Badili Tabia........2%
Mamdenyi.........Kajitoa kuwahi mtoto nyumbani
Sweetlady........Hakushiriki kabisa
Angel Msofe.....Aliungana na Erickb52
BHT.......Kaenda kupiga picha na mwanae
Gambabovu......6%
.............................................................
Hivyo kwa matokeo hayo namtangaza Erickb52 Kuwa mshindi wa Kutotukana kabisa JF
Hongera sana Erickb52 kokote uliko....
Tuwasiliane kwa zawadi yako.
Nawasilisha!

Wenu! Mkenya "Ng'wanakidiku"
Hureeeeeeeeeeee
Dah hata siamini aiseeee
Thanks sanaaaaaa kamanda kwa kutambua haki za wanajamii....
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana jamii wote mlionipigia ndogo ndogo hadi kuibuka kinara wa hili....
Naandaa hafla maalumu ya kusherehekea tuzo hii ya heshma....
 
shem kwan leo imekuaje?tunapishana kama magari?hata magari yanapigiana honi....
Mie pia nashangaa shem langu, nikiingia nawe watoka kulikoni? Mie mzima niko huku Arumeru nalinda kura!

Hujambo?
 
Mie pia nashangaa shem langu, nikiingia nawe watoka kulikoni? Mie mzima niko huku Arumeru nalinda kura!

Hujambo?

ebana mm hayo mambo ni aleji nayo...nikiona tu sanduku la kupigia kura navimba mwili mzima!...
 
Ehehehe bila shaka wee utakuwa magamba wewe. Dah imebidi nikukubali bila kupenda
Hahaaaa sawa mkuu hata hivyo naona mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kashanitangaza mimi kuwa mshindi....
Asanteni sana kwa kura zenu wooooooooote
 
Back
Top Bottom