Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Na sie tunaoshinda jukwaa la kimbweka (wakubwa) tunaruhusiwa kuwemo kwenye mchuano?
 
Jesus Christ, son of Joseph and Mary, friend of Lazarus!
U ar disqualified, automatikale mshindi ni mie. Nawahi kkoo kununua pamba za kuapishiwa wallah tena!
@##$%$%%^^^^&&&&**((()):crazy:
 
kumbe unadosari enheee nilikuwa sijui khaaa..
Ndetichia hizi ni dosari za kutengenezwa tu....
Siunajua watu hawapendi kuniona nikiibuka mzee wa Busara?
So usiogope kunipa kura yako...
Hope wewe unanijua vema
 
Jesus Christ, son of Joseph and Mary, friend of Lazarus!
U ar disqualified, automatikale mshindi ni mie. Nawahi kkoo kununua pamba za kuapishiwa wallah tena!
Hahahaaaa aisee....Duh hiyo ni salamu yetu na Mtei sio tusi..
Lol Ngoja nikaedit maana naweza poteza ushindi hivi hivi
 
Erick huwa anatukana sana. Hafai hafai. Ni mlevi kupindukia.
 
Bora mi mlevi kuliko we unayewataka shemeji zako....
Mwenzako Bagah jana tulipeleka posa kwa Vivian akaambiwa
"Bagah is a Player Boy"
Lol washenga wacha tuishiwe pozi....
Hahahaa nawewe tunakuhofia utakumbwa na kashfa hiyo
 
Yaani tuzo ya udaku nakupigia kura! Siri za kwenye mahari tu unazitoa, za ndoa si utamuuzia shigongo kabisa? Nikipokea mahari ya small house sikuiti aisee!

Teh teh kwa hawa vijana ni muhimu kukaa nao na kuwajenga...tukiongelea haya mambo kiuficho hawatabadilika aisee...
Lol Hivi unajua Mtei hapa alipo keshazidunga ndovu 4 eti anafurahia ushindi wa CDM Arumeru
 
Kura za akheri zimekushinda za humu utaziweza? Afu nakusemea kwa shemeji!
Hahahahaha! Yaani wewe una kesi ya kujibu, sijui kama ntakusamehe mwaka huu! Nataka zawadi za vekesheni lol.
 
Yaani tuzo ya udaku nakupigia kura! Siri za kwenye mahari tu unazitoa, za ndoa si utamuuzia shigongo kabisa? Nikipokea mahari ya small house sikuiti aisee!

asante sana King'...ungekua karibu ningekununulia KONI!...
 
Hahahaaa yan umemshusha sana King'asti....umeona koni ndo inamfaa?
Lol Najua hataikubali....
@King'asti: 'Asante Bagah usijali niko sawa'
 
Hafai hata kwa kulumangia..

Makamanda waliokabidhiwa hlo jukumu wanatosha
Kwanza kazi yako kama kawaida ni kuhakikisha usalama...
So nakuamrisha kuanzia sasa hakikisha hakuna mtu anayepost post yoyote inayonikashfu au kuniponda Erickb52....
Na kama ikitokea ichakachue faster kabla watu hawajaona....sawa Kamanda wangu?
 
Bora mi mlevi kuliko we unayewataka shemeji zako....
Mwenzako Bagah jana tulipeleka posa kwa Vivian akaambiwa
"Bagah is a Player Boy"
Lol washenga wacha tuishiwe pozi....
Hahahaa nawewe tunakuhofia utakumbwa na kashfa hiyo

unanicngzia. Wewe ndo kiwembe mlevi
 
Kwanza kazi yako kama kawaida ni kuhakikisha usalama...
So nakuamrisha kuanzia sasa hakikisha hakuna mtu anayepost post yoyote inayonikashfu au kuniponda Erickb52....
Na kama ikitokea ichakachue faster kabla watu hawajaona....sawa Kamanda wangu?

uache ulevi, matusi, umalaya, wizi, na ushenz mwngne wowote halafu uone kama kuna m2 atakusema.
 
Back
Top Bottom