sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Hahaha! Ntakuletea dawa ya aleji ukunywe!ebana mm hayo mambo ni aleji nayo...nikiona tu sanduku la kupigia kura navimba mwili mzima!...
Hahaha! Ntakuletea dawa ya aleji ukunywe!ebana mm hayo mambo ni aleji nayo...nikiona tu sanduku la kupigia kura navimba mwili mzima!...
Teh inabidi sherehe tukaifanyie ArumeruHehehe! Subiri wamtangaze Nasari tuunganishe sherehe!
Kabisa, hilo halina ubishi lol.Teh inabidi sherehe tukaifanyie Arumeru
Hahahaaa tena magari yasiyo na taa gizanishem kwan leo imekuaje?tunapishana kama magari?hata magari yanapigiana honi....
Bagah angekuwa karibu tungemchukua akaone mambo ya ArachugaKabisa, hilo halina ubishi lol.
asante sana King'...ungekua karibu ningekununulia KONI!...
Haaaa unapinga kwanini?Erick una element za kimagambamagamba. Napinga ushnd wako.
Hata huyo alyeandaa tuzo naye ni gamba gumu.
Mwache kamanda bana!Erick una element za kimagambamagamba. Napinga ushnd wako.
Hata huyo alyeandaa tuzo naye ni gamba gumu.
King'asti nangoja pongezi zako.......Siku hizi sikuli hizi za azam, nataka ya diaryland plz, toffee!
Hivi SL hujaona ushindi wangu?Mwache kamanda bana!
Definition ya matusi ina matatizo, kwani hata sisi tunaojadili hapa tumezaliwa. Sasa fikiria huo mchakato mzima wa kuzaliwa, matendo yaliyofanyika, vitendea kazi vilivyotumika...yote matusi.huoni ni bora kutukana kuliko kufanya??
Kufanya ndo mbaya zaidi.
Hata mie sijui definisheni.
Matusi ni maneno ya aibu yanayosemwa mbele za watu.....Definition ya matusi ina matatizo, kwani hata sisi tunaojadili hapa tumezaliwa. Sasa fikiria huo mchakato mzima wa kuzaliwa, matendo yaliyofanyika, vitendea kazi vilivyotumika...yote matusi.
Hivi SL hujaona ushindi wangu?
Pitia post uone nilivyo juu....
Lol
wenye wivu watajiju mi ndo b52 original
Hahahaaanakuja na ushahidi punde!..napinga!..
Hahahaaa
Bagah kwani ulitaka nani awe mshindi?
Kabisa, hilo halina ubishi lol.
Hahahaaa
Bagah kwani ulitaka nani awe mshindi?