Mi nahitaji kujua vigezo vilivyotumika!
Haiwezekani nikatupwa mbali kiasi hicho...
Waambie SL naona Gamba anashangaa tu lolHehehe! G asiyekubali kushindwa si mshindani, kubali yaishe kaka manake hata Siyoi keshakubali yaishe lol.
Hehehe! G asiyekubali kushindwa si mshindani, kubali yaishe kaka manake hata Siyoi keshakubali yaishe lol.
Teh teh inawezekana ulikuwa kama Maji Marefu Mbunge wa Tanga(Sikumbuki Jimbo) wa ccm kule arumeru aligonga alama ya V ya chadema baada ya kunogewa na raha za chadema....hii ni kweli....bora ww unaesema umetupwa mbali...mm nimepata SIFURI...inamaana hata kura niliyojipigia mwenyewe haipo...wamechakachua!..
Bagah hapa hakuna kubana....im the winner kama Triple H....yani shem unasapot huu mpango?au na ww unapata maslahi sio?na huko Arumeru uwe makini usije muachia kaka yetu katoto ka miez 3
Ameshinda Bwana Erickb52Kwani nani kashinda.
Teh Gamba.. ni Gamba... tu....ukibadili jina ipo siku utashinda...Teh vigezo na mashart vilizingatiwaMi nahitaji kujua vigezo vilivyotumika!
Haiwezekani nikatupwa mbali kiasi hicho...
Shem mpeni kaisari yaliyo yake kaisari lol.yani shem unasapot huu mpango?au na ww unapata maslahi sio?na huko Arumeru uwe makini usije muachia kaka yetu katoto ka miez 3
Huyu atajulia wapi haya wakati yuko bar muda woteShem mpeni kaisari yaliyo yake kaisari lol.
Arumeru tumeshinda kwa kishindo ati...tumelinda kura mpaka kimeeleweka!
Mmmmmmhhhhhh?Hivi husninyo amewahi kutukana? Hapana.
Hehehe! G asiyekubali kushindwa si mshindani, kubali yaishe kaka manake hata Siyoi keshakubali yaishe lol.
Hahahaaa nipe hongera zangu Gamba....
Mi niko juu sana hujajua tu?
Lol
Mi ndo CDM original
Teh Gamba.. ni Gamba... tu....ukibadili jina ipo siku utashinda...Teh vigezo na mashart vilizingatiwa
bora ww unaesema umetupwa mbali...mm nimepata SIFURI...inamaana hata kura niliyojipigia mwenyewe haipo...wamechakachua!..
HahahaaaaaaaaaaBasi utakuwa shahidi wa upande wangu...
Nasikiasikia kuwa klorokwini ni one of the best lawyers...
Nataka nimwambie kuna ulaji,achangamkie kazi..
Gee Cee
Hahahaaa hujui tulikuwa Arumeru tunalinda Kura zetu?Bagah,Gambachovu,Erickb52, sweetlady.....
Huwa mnalala saa ngapi?
Afu katika huu mchakato kuna mtu yeyote aliyemtaja the great ODM?
Kama hakuna aliyenitaja, hii thread ni batili kwahiyo, natangaza rasmi kuwa hii thread ako :closed_2:!!!!
Hahahaaa next time tumia Gee Cee kabisa achana na magambaSilibadili jina...
Ila nina nick name ya Gee Cee....