Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaTunzo ni kama mchezaji mpira akicheza vizuri uwnjani alafu baada ya mechi mashabiki wa yule mchezaji mkaamua kumpa ela mwenye elfu, elfu tano alfu kumi na kuendelea kila mtu akawa anampa kutokana na kile alichokifanya kwa siku iyo uwanjani bt tuzo ni kitu rasmi anachopewa mtu baada ya kushindanishwa na wengine kwa utaratibu n kanuni maalumu so uyo atakayewashinda wenzake katika shindano fulani chini ya utaratibu na kanuni fulani ndo anapewa tuzo
Hili ndo neno sahihiNeno sahihi ni Tunzo(N) linalotokana na kitenzi Tunza(T).
Ni jezi mkuu na si vinginevyoJezi au Jenzi
Tuzo ni neno sahihi pia.Neno sahihi ni Tunzo(N) linalotokana na kitenzi Tunza(T).
Kinacho fuata ni jinzi na jiziNi jezi mkuu na si vinginevyo
Neno hilo ni la kiingereza "Jeans"...na matamshi yake hutamkwa jinzi na sio jizi, lakini neno kama neno ni la kiingereza na wala si kiswahili mkuuKinacho fuata ni jinzi na jizi
Je na jizi ina maana gan?Neno hilo ni la kiingereza "Jeans"...na matamshi yake hutamkwa jinzi na sio jizi, lakini neno kama neno ni la kiingereza na wala si kiswahili mkuu
Kwa kweli neno hili sijawahi kuliskia...au ndo watu wanamaanisha "Jeans"?....au mkuu labda uliliskia likitumika sehemu?Je na jizi ina maana gan?
Lina tumika sana kwetu tanga kumanisha mwizi aliye kubuhu kitu kama hiko au mwizi mkubwa mara nyingi huwa hivi (lile jitu jizi sana au lile toto jizi sana au yule mtoto ni jizi sana au aruna ni jizi la kimataifa Au paka jizi huyo anapita au paka jizi hilo linapita)Kwa kweli neno hili sijawahi kuliskia...au ndo watu wanamaanisha "Jeans"?....au mkuu labda uliliskia likitumika sehemu?
kwa upande mwingine ni kweli jizi inaweza kutumika kama mwizi ...lakini si Kiswahili fasaha..kila eneo lina rafudhi yake au (jinsi wanavyotamka maneno) kwa mfano: hapo hapo tanga si ajabu mtu kusema "Moto wawaka" badala ya "Moto unawaka" na maeneo mengine pia hivyo hivyo....si kama sio Kiswahili,la!...ni Kiswahili lakini si fasaha...Mkuu naona ngoja nilale maana saa zimefika....ila kama maelezo hapo juu si ya kwel,basi nakubali kukosolewa kwa nia ya kujenga lugha ya kiswahili..Usiku mwema mkuuLina tumika sana kwetu tanga kumanisha mwizi aliye kubuhu kitu kama hiko au mwizi mkubwa mara nyingi huwa hivi (lile jitu jizi sana au lile toto jizi sana au yule mtoto ni jizi sana au aruna ni jizi la kimataifa Au paka jizi huyo anapita au paka jizi hilo linapita)
sawa mkuu nakwako piakwa upande mwingine ni kweli jizi inaweza kutumika kama mwizi ...lakini si Kiswahili fasaha..kila eneo lina rafudhi yake au (jinsi wanavyotamka maneno) kwa mfano: hapo hapo tanga si ajabu mtu kusema "Moto wawaka" badala ya "Moto unawaka" na maeneo mengine pia hivyo hivyo....si kama sio Kiswahili,la!...ni Kiswahili lakini si fasaha...Mkuu naona ngoja nilale maana saa zimefika....ila kama maelezo hapo juu si ya kwel,basi nakubali kukosolewa kwa nia ya kujenga lugha ya kiswahili..Usiku mwema mkuu
Ee naam!Tunzo ni kama mchezaji mpira akicheza vizuri uwnjani alafu baada ya mechi mashabiki wa yule mchezaji mkaamua kumpa ela mwenye elfu, elfu tano alfu kumi na kuendelea kila mtu akawa anampa kutokana na kile alichokifanya kwa siku iyo uwanjani bt tuzo ni kitu rasmi anachopewa mtu baada ya kushindanishwa na wengine kwa utaratibu n kanuni maalumu so uyo atakayewashinda wenzake katika shindano fulani chini ya utaratibu na kanuni fulani ndo anapewa tuzo