Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

Tunzo ni kama mchezaji mpira akicheza vizuri uwnjani alafu baada ya mechi mashabiki wa yule mchezaji mkaamua kumpa ela mwenye elfu, elfu tano alfu kumi na kuendelea kila mtu akawa anampa kutokana na kile alichokifanya kwa siku iyo uwanjani bt tuzo ni kitu rasmi anachopewa mtu baada ya kushindanishwa na wengine kwa utaratibu n kanuni maalumu so uyo atakayewashinda wenzake katika shindano fulani chini ya utaratibu na kanuni fulani ndo anapewa tuzo
 
Asante sana
 
Maneno yote hayo ni sahihi sasa inategemea unalipeleka mahala gani
 
Kwa kweli neno hili sijawahi kuliskia...au ndo watu wanamaanisha "Jeans"?....au mkuu labda uliliskia likitumika sehemu?
Lina tumika sana kwetu tanga kumanisha mwizi aliye kubuhu kitu kama hiko au mwizi mkubwa mara nyingi huwa hivi (lile jitu jizi sana au lile toto jizi sana au yule mtoto ni jizi sana au aruna ni jizi la kimataifa Au paka jizi huyo anapita au paka jizi hilo linapita)
 
kwa upande mwingine ni kweli jizi inaweza kutumika kama mwizi ...lakini si Kiswahili fasaha..kila eneo lina rafudhi yake au (jinsi wanavyotamka maneno) kwa mfano: hapo hapo tanga si ajabu mtu kusema "Moto wawaka" badala ya "Moto unawaka" na maeneo mengine pia hivyo hivyo....si kama sio Kiswahili,la!...ni Kiswahili lakini si fasaha...Mkuu naona ngoja nilale maana saa zimefika....ila kama maelezo hapo juu si ya kwel,basi nakubali kukosolewa kwa nia ya kujenga lugha ya kiswahili..Usiku mwema mkuu
 
sawa mkuu nakwako pia
 
Tunzo ni kama mchezaji mpira akicheza vizuri uwnjani alafu baada ya mechi mashabiki wa yule mchezaji mkaamua kumpa ela mwenye elfu, elfu tano alfu kumi na kuendelea kila mtu akawa anampa kutokana na kile alichokifanya kwa siku iyo uwanjani bt tuzo ni kitu rasmi anachopewa mtu baada ya kushindanishwa na wengine kwa utaratibu n kanuni maalumu so uyo atakayewashinda wenzake katika shindano fulani chini ya utaratibu na kanuni fulani ndo anapewa tuzo
Ee naam!
 
Back
Top Bottom