Nani wewe unaona anafaa tuzo hiyo....! Maana nimewashinda waislam wote humu kwa HojaHapana aiseeeeee
Nilikuwa napromoti utalii na kupinga mauaji ya tembo(ujangili)....duh kumbe mlishaikariri...ngoja nirudishe fasta na sitaadilisha kamweHuyo bitoz mwingine ?? Aaaaa rudisha avatar ya tembo bana
Haha hamna ,Swaga za Bitoz na avatar ya tembo zinaendana ndio maanaNilikuwa napromoti utalii na kupinga mauaji ya tembo(ujangili)....duh kumbe mlishaikariri...ngoja nirudishe fasta na sitaadilisha kamwe
Mimi ni mzalendo
Umeiona [emoji780]
Mkuu watu wanajulikana....kuweka list malalamiko yatakuwa mengi + ushabiki& kupeana kick....waache tu watajwe .....Mwenye sifa atashinda tuMiaka kumi si mchezo. Tufanyen jambo la ukwel. Hizo tuzo wapewe wanaostaili kweli isiwe kama KILIMANJARO AWARD