Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Huyu bitoz mwingine ?? Aaaaa rudisha avatar ya tembo bana
 
Huyo bitoz mwingine ?? Aaaaa rudisha avatar ya tembo bana
Nilikuwa napromoti utalii na kupinga mauaji ya tembo(ujangili)....duh kumbe mlishaikariri...ngoja nirudishe fasta na sitaadilisha kamwe
Mimi ni mzalendo

Umeiona [emoji780]
 
Tuweken majina ya kila kundi waliotimiza vigezo. Nashauri wawekwe watano watano kila kipengele. Hii itasaidia sana kurahisisha mchakato. Nawasilisha
 
Tuweken majina ya kila kundi waliotimiza vigezo. Nashauri wawekwe watano watano kila kipengele. Hii itasaidia sana kurahisisha mchakato. Nawasilisha
Hiyo ni ngumu 7bu majukwaa yapo mengi hivyo siwezi kuwafahamu
 
Bitoz sikia tunapoamua kufanya jambo la uhakika, hatuna haraka hata kama itatuchukua miezi 3.
 
Miaka kumi si mchezo. Tufanyen jambo la ukwel. Hizo tuzo wapewe wanaostaili kweli isiwe kama KILIMANJARO AWARD
 
Nilikuwa napromoti utalii na kupinga mauaji ya tembo(ujangili)....duh kumbe mlishaikariri...ngoja nirudishe fasta na sitaadilisha kamwe
Mimi ni mzalendo

Umeiona [emoji780]
Haha hamna ,Swaga za Bitoz na avatar ya tembo zinaendana ndio maana
Na majibu yako ya shombo ,short and clear ,sijui unaingia category ipi
 
naomba hizo tuzo ziwe kwa member angalau mwenye miaka 5 JeiFu ! sio watoto wa sikuhizi ...hawajui ilipotoka JF wala inapoelekea
 
Miaka kumi si mchezo. Tufanyen jambo la ukwel. Hizo tuzo wapewe wanaostaili kweli isiwe kama KILIMANJARO AWARD
Mkuu watu wanajulikana....kuweka list malalamiko yatakuwa mengi + ushabiki& kupeana kick....waache tu watajwe .....Mwenye sifa atashinda tu
 
Haha hamna ,Swaga za Bitoz na avatar ya tembo zinaendana ndio maana
Na majibu yako ya shombo ,short and clear ,sijui unaingia category ipi
Lakini si umeipenda.......
 
Back
Top Bottom