Kijana umerudi tena kwenye ligi?
Ni edit vipi mkuu.Mkuu edit...kura ihesabike
haya bana..Naona mtt umeamka..Ila masaa yako yanahesabika..
iyo moja imekuja kimakosa mkuuWe noma unarudia waziwaz
hahaha hapana mkuu la mkono namuachia nape na chama chakeHahaaaaa
Nilihisi goli la mkono
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
ok.Mfn
#100 ni.....
16/Member anayeongoza kwa kutunga uongo/chai/fix
Barbarosa
17/ Member mbumbumbu/kilaza kuliko wote
GENTAMYCINE
18/Member mbishi kuliko wote(kila kitu anapinga)
Hayupo
Kama anapinga kila kitu basi anajipinga hata yeye
19/Member anayeongoza kwa kuandika sentensi fupi( short &clear)
kabanga
20/Kinara wa kuanzisha maneno/misamiati mipya
Kiranga
eg.Jini-ujuvi
21/Member kinara wa kukatisha tamaa wenzake(hapendi wenzake wafanikiwe)
PolPot
member mbishi STUNTER