Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

haya bana..Naona mtt umeamka..Ila masaa yako yanahesabika..

Nipo, nilikuwepo na nitakuwepo!!!

Hapa hasandi mtu, mtoto mwenyewe kakubali mziki wangu, anasema matozi dizaini yako ni wa kuchuna tu.
 
16/Member anayeongoza kwa kutunga uongo/chai/fix
Barbarosa
17/ Member mbumbumbu/kilaza kuliko wote
GENTAMYCINE
18/Member mbishi kuliko wote(kila kitu anapinga)
Hayupo

Kama anapinga kila kitu basi anajipinga hata yeye

19/Member anayeongoza kwa kuandika sentensi fupi( short &clear)
kabanga

20/Kinara wa kuanzisha maneno/misamiati mipya
Kiranga
eg.Jini-ujuvi

21/Member kinara wa kukatisha tamaa wenzake(hapendi wenzake wafanikiwe)
PolPot

22/ Member Anayeongoza Kwa UPOPOMA ULIOTUKUKA Humu JF Kuliko Wote
Einstein newton
 
Back
Top Bottom