Mbna Juma Nature anatumia Kibra km aka yake .....Kibra kapewa tuzo[emoji28][emoji28]???
In positive way............
hapo ndio utakumbuka zile vocal za 'l want you back l am sorry bebe oooooh' jamaa mbaya sana japo domo kaya anabebwabebwaMTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.
Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.
Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.
================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Ushasema juma nature!!Jina sio issue, mi jina langu halisi watu wanaonifaham walivyolipindisha na wanavyoniita ingekuwa ww inaonekana ungekuwa unagombana nao kila siku
Nimeandika in a positive way,mbona Juma Nature anatumia hyo hyo Kibra km aka yake
By sia furler,,mama wa chandelier!,cheap thrills,!!Toka Nijitambue!
Nimegundua rafiki yako na mtu wako wa karibu anayekutakia mema kabisa katika maisha yako ni MAMA YAKO TU!
Wengine we watizame tu, wala usilalamike!
I can imagine how MAMA ALIKIBA is proud of her son for the great Achievements.
Nakushauri rafiki zangu JF, Love your Mum! Because she is there in worst and best times!
Kwa Alikiba I am saying this:
Piga kazi!
Never Give Up! Watanyamaza!
Baba yangu husemaL: Jogoo awike au asiwike Jua lazima lichomoze!
Never Give up Man!
Naona mahaba yanatawala ......Ushasema juma nature!!
Kumbe ndilo tatizo! Basi ngoja niondoke.Naona mahaba yanatawala ......
kama upo kichwani mwanguKama kweli huu ni udhaliliahaji kwa msanii wetu, kweli mpaka ang'ang'anie ndio apewe!!
Nilisoma hiyo comment daaa!
Huyo incredible omar dizaini kama team Diamond. Alifanya uchochezi too