Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Hii itakuwa Wizkid kamhurumia Kiba, anavyo hangaika na tuzo, bira walivyompoza.
 
Toka Nijitambue!
Nimegundua rafiki yako na mtu wako wa karibu anayekutakia mema kabisa katika maisha yako ni MAMA YAKO TU!
Wengine we watizame tu, wala usilalamike!
I can imagine how MAMA ALIKIBA is proud of her son for the great Achievements.
Nakushauri rafiki zangu JF, Love your Mum! Because she is there in worst and best times!

Kwa Alikiba I am saying this:
Piga kazi!
Never Give Up! Watanyamaza!
Baba yangu husemaL: Jogoo awike au asiwike Jua lazima lichomoze!
Never Give up Man!
 
Yaani hawa jamaa walikuwa hawajui kusoma kura za wanaofanya maamuzi au ni mawazo muflisi?
 
MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.

Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.

Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.





================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
hapo ndio utakumbuka zile vocal za 'l want you back l am sorry bebe oooooh' jamaa mbaya sana japo domo kaya anabebwabebwa
 
Jina sio issue, mi jina langu halisi watu wanaonifaham walivyolipindisha na wanavyoniita ingekuwa ww inaonekana ungekuwa unagombana nao kila siku
Nimeandika in a positive way,mbona Juma Nature anatumia hyo hyo Kibra km aka yake
Ushasema juma nature!!
 
Toka Nijitambue!
Nimegundua rafiki yako na mtu wako wa karibu anayekutakia mema kabisa katika maisha yako ni MAMA YAKO TU!
Wengine we watizame tu, wala usilalamike!
I can imagine how MAMA ALIKIBA is proud of her son for the great Achievements.
Nakushauri rafiki zangu JF, Love your Mum! Because she is there in worst and best times!

Kwa Alikiba I am saying this:
Piga kazi!
Never Give Up! Watanyamaza!
Baba yangu husemaL: Jogoo awike au asiwike Jua lazima lichomoze!
Never Give up Man!

By sia furler,,mama wa chandelier!,cheap thrills,!!
 
15043933_813305265439288_8626119584094617600_n.jpg
 
flagship nenda kwa ktk page ya insta ya shilole kiuno na sijui dengue nn kaangalie anavyotukanana na wanaijeria ktk page zao na kama hujui habari mpya na update zote za kiba ziaanzia kwao, au mitusi ktk page ya mtv emma, alafu njoo useme tena timu diamond, tubadilike watz huu upuuzi, jamaa kamaindi kimtindo, tuzo tushapata sasa matusi ya nn
 
Back
Top Bottom