Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Si timu kiba wala diamond wote huwa wana matusi, nakumbuka ile tuzo aliyoshinda blackcoffee ( sina uhakika kama jina nimeandika kiusahihi) timu diamond walitukana mnoo kwenye page ya yule kaka. So ukiwa unatoa judgement usiegemee upande wowote...Watanzania bado washamba na mitandao nadhani, maan huko Insta wenyewe ndyo wanaongoza na matusi utafikiri hizo tuzo zinaandaliwa kwa ajili ya wasanii wa bongo peke yao.Aisee! Nilihisi hiki kitu toka mwanzo kwamba kuna uwezekano Wizz ameamua kususa na kurudisha hizi tuzo baada ya kuchoshwa na matusi na kusakamwa na watu wa kiba.. Maana ilikuwa ngumu kwangu kuamini MTV wanaweza kufanya kitu unprofessional kiasi hiki kumpokonya mtu tuzo wampe mwingine..
Sasa menejimenti ya kiba wanasikia raha gani kupewa tuzo iliyosuswa?? And wanatengeneza image gani barani Afrika??
Hii ni aibu, sijawahi kushuhudia upuuzi wa kiasi hiki kwenye industry ya mziki Afrika..