Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Aisee! Nilihisi hiki kitu toka mwanzo kwamba kuna uwezekano Wizz ameamua kususa na kurudisha hizi tuzo baada ya kuchoshwa na matusi na kusakamwa na watu wa kiba.. Maana ilikuwa ngumu kwangu kuamini MTV wanaweza kufanya kitu unprofessional kiasi hiki kumpokonya mtu tuzo wampe mwingine..

Sasa menejimenti ya kiba wanasikia raha gani kupewa tuzo iliyosuswa?? And wanatengeneza image gani barani Afrika??
Hii ni aibu, sijawahi kushuhudia upuuzi wa kiasi hiki kwenye industry ya mziki Afrika..
Si timu kiba wala diamond wote huwa wana matusi, nakumbuka ile tuzo aliyoshinda blackcoffee ( sina uhakika kama jina nimeandika kiusahihi) timu diamond walitukana mnoo kwenye page ya yule kaka. So ukiwa unatoa judgement usiegemee upande wowote...Watanzania bado washamba na mitandao nadhani, maan huko Insta wenyewe ndyo wanaongoza na matusi utafikiri hizo tuzo zinaandaliwa kwa ajili ya wasanii wa bongo peke yao.
 
Whatever it is!
Me naamini No body can block your blessings as long as they are coming from God!
Usiogope, Huu ndiyo Mziki!
Apate Collabo au asipate Collabo, as long as he lives, Muda ukifika atatoboa!
Take it from me, you can only control yourself but not others!
Mashabiki huumia sana kuliko wahusika 100%!
Unakumbuka shabiki yule wa Yanga alikuwa analia kabisa???
Huwezi kukontrol hisia za mashabiki.
nimeipenda hii!! Thank you!
 
Si timu kiba wala diamond wote huwa wana matusi, nakumbuka ile tuzo aliyoshinda blackcoffee ( sina uhakika kama jina nimeandika kiusahihi) timu diamond walitukana mnoo kwenye page ya yule kaka. So ukiwa unatoa judgement usiegemee upande wowote...Watanzania bado washamba na mitandao nadhani, maan huko Insta wenyewe ndyo wanaongoza na matusi utafikiri hizo tuzo zinaandaliwa kwa ajili ya wasanii wa bongo peke yao.
ni kweli ulichosema
 
yaan vitu vya kiba hata havinogi.. I just dare him to post this award on any of his social media profiles. The thing about this guy is that he still isn't fit for any competition. In reality he damn well knows he can never compete with someone like wizkid. Wizkid's achivement for the past year has been tremendously high compared to ali. And organizers wanashindwa muweka kwenye best new act ashindane na kina tekno coz nigga been around for a while. Hapa atapata bichwa wakati he hasn't done anything for him to be the best african act. Kilichotokea sio figusu sema MTV decided to crown wizkid kutokana na vitu ambavyo viko obvious wakasahau wakariakoo wana uchu na tuzo na hawaangalii viwango
 
Sasa mbona mna hasira wenyewe tena. Povu la nini sasa??
 
hahaaa,i saw this coming!!,,,,, wala sishangai, pitia post zangu za nyuma!!!,,asanyte
 
Aisee hata kama kiba alistahili ile ni too much! Yale matusi ya fans wake kule kwenye page ya wizkid aisee!
Nafikiri kiba angetumia busara flani kuliko hivyo........
Hii yako nayo kali yuani matusi watukane wengine busara atumie mwingine
 
Seriously??? [emoji15]

Ndio kiba aone balaa aliloanzisha..

Davido na wa-Nigeria walitutukana sana kipindi cha Diamond na ishu ya awards za Channel O mbona wa Bongo wali-react uko mitandaoni hata Diamond alipost vijembe sana na maisha yakaendelea acheni udhaifu wenu na team blah blah kwani mpaka anafika hapo uyo Ali Kiba ana collabo na nani hasa toka nje kama ni haki yake acha adai uyo Wizkid akizira kazi kwake watu wanataka haki yao upuuzi eti Ali K kaanzisha balaa ni unafiki wenu kwanza Ali K mwenyewe nae nunda tu iko wazi na jifunze kujiondoa na utumwa wa akili kua lazima wanyenyekewe hao viande wakati mnajua walivyo na dharau kasome comments zao utaona wanavyotukana kua muziki uko kwao tu na sisi ni tunawaiga wao acheni utumwa mbona Davido alikomaa kwetu kua tumedanganya na mbona juzi juzi tumemaindi kuhusu Black Coffee acheni kujisahulisha tena kwenye page uyo Black Coffee wehu walitukana kinoma sijaona Diamond atetereke bado anatoboa iweje leo Kiba na watu wake wakae chini wasidai haki yao.
 
ALIKIBA win Best African Act by fans via votes and WIZKID Win Worldwide Act , was selected by an international committee of MTV music executives to recognize current artists who are rising to have a wider geographic appeal beyond their local regions. The winners were chosen based off a range of criteria including international MTV video play, radio airplay, streams, and sales across multiple territories and regions.
Hapo kuna somo la kujifunza kwa wasanii wa Bongo.
Source:MTV Base | MTV EMA Best African Act
 
1478794018824.jpg
1478794080809.png
1478794080809.png
 
Ivi alikiba alipewa ile bill 1 ya tecno kule Dubai.
Ivi kashaamia kwenye mjengo wake(hekalu).
Ivi kapata hela ya kununua tuzo kama diamond. poor kiba
 
yaan vitu vya kiba hata havinogi.. I just dare him to post this award on any of his social media profiles. The thing about this guy is that he still isn't fit for any competition. In reality he damn well knows he can never compete with someone like wizkid. Wizkid's achivement for the past year has been tremendously high compared to ali. And organizers wanashindwa muweka kwenye best new act ashindane na kina tekno coz nigga been around for a while. Hapa atapata bichwa wakati he hasn't done anything for him to be the best african act. Kilichotokea sio figusu sema MTV decided to crown wizkid kutokana na vitu ambavyo viko obvious wakasahau wakariakoo wana uchu na tuzo na hawaangalii viwango
Gundu last Mombasa ni moto wa kuotea Mbali.
 
Back
Top Bottom