cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Sioni aibu Mkuu!!!
BADO HAKUJAKUCHA RUDI TENA UKALALEE
Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Nakuja sasa hiviiiiiiiii kama ni kweli nitakufa mie.Millard ayo kashapost!!! Wozaaaaaaa\aaaaaaaaaaa
Yooooooh dah dah wakuu nilikuwa nimeapa sitoingia tena humu hahahaha
Kingkiba yoooooooooooooooooh
ushindi wa mezani πππππ
Wenzako wanafanyaga hivi.Nimeshindwa kuattach picha,, haters, fans wa alikiba ingieni page ya Millard ayo instagrama
Msisuse jamani,,