cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Sioni aibu Mkuu!!!
Kwa haya mnayopokea kwa wa nchi nyingine kwenye forum zao, sasa sishangai mnayotuletea humu.
Mimi napita sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni aibu Mkuu!!!
BADO HAKUJAKUCHA RUDI TENA UKALALEE
Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Nakuja sasa hiviiiiiiiii kama ni kweli nitakufa mie.Millard ayo kashapost!!! Wozaaaaaaa\aaaaaaaaaaa
Yooooooh dah dah wakuu nilikuwa nimeapa sitoingia tena humu hahahaha
Kingkiba yoooooooooooooooooh
ushindi wa mezani 😀😀😀😀😀
Wenzako wanafanyaga hivi.Nimeshindwa kuattach picha,, haters, fans wa alikiba ingieni page ya Millard ayo instagrama
Msisuse jamani,,