Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Sioni aibu Mkuu!!!

Kwa haya mnayopokea kwa wa nchi nyingine kwenye forum zao, sasa sishangai mnayotuletea humu.

20161109_182616.jpg

20161109_182656.jpg


Mimi napita sasa.
 
Ingieni page ya Millard ayo! Wozaaaaaaaaaa
 
Millard ayo kashapost!!! Wozaaaaaaa\aaaaaaaaaaa
 
Nimeshindwa kuattach picha,, haters, fans wa alikiba ingieni page ya Millard ayo instagrama
Msisuse jamani,,
 
@ cocochanel karibu tenaa,pita na kwa Millard
 
Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa waandaji na ile kauli ya Ali kiba ya kuhujumiwa itakuwa inaleta uhalisia
 
Hiyo ya worldwide nayo anairudisha?
 

Attachments

  • 15034616_722570724560133_5983203933718315008_n.jpg
    15034616_722570724560133_5983203933718315008_n.jpg
    38.4 KB · Views: 38
Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!

List of awards and nominations received by Wizkid - Wikipedia
 
Back
Top Bottom