Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Wowzerrrrrrrrr
Dah afadhali siku inazidi kuisha vizuri jamani!
Mungu mkubwa,hongera Ali Kiba,hongera Kiba fans [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ebwana,leo nimeshuhudia jinsi fans wanavyoweza kumpigania msanii wao!!! OMG,,that's fantastic!!!! Haters sasa wanatunga story story za kipuuzi puuzi ili ionekane kama nini vile!! Sema niniii!!!??? Tushawashtulkiaaaaaa
 
Lakini Nadhani Kiba inabidi akae chini ajitafakari kama anaweza ku compete na mafanikio ya Wizkid katika anga ya international/worldwide music let alone kuongoza kwenye hizo votes...ukweli utamweka Kiba na mashabiki wake Huru...aachane na hizo siasa za public sympathy am sure he can do better zaidi ya anachofanya sasa hv
 
Lubuva hadi Kweny MTVmama Duh
 
Wenzako wanafanyaga hivi.
Hater!! Asante Sana,, naona unajibalaguza kunielekeza,, ngoja hili shangwe liishe halafu utanielekeza!! An amazing hater!!
 
haya baba, asante kwa Mada tofauti yenye lengo la Siri!!!
 
hahahahaaaaa wabongo nimewavulia kofia..............yan wamepigana kufa kupona mpaka tuzo imerudi home
heheheeee lazma wanaijeria watakua wamejuta kutufahamu
plyz mwakani MTV EMA msije mkatususa kutokana na hili
mana msije mkajifunza kutokana na makosa

Hongera kiba
 
Haya hongera, King kiba, ila siamini bado yaani CV yote ya wizkid mwishoni mwaka jana na mwaka huu, kaambulia patupu, basi ya worldwide wampe ariana grande.
 
Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa waandaji na ile kauli ya Ali kiba ya kuhujumiwa itakuwa inaleta uhalisia
Why always Kiba ? Kila siku anahujumiwa yeye tu...akifanya kazi nzuri za kimataifa sidhani kama atakuwa anapatwa na hizi sintofahamu
 
hivi hao waandaaji wamekili kwenye platform gani? kwenye website yao? kwenye social networks page zao au walimpigia simu Millard ayo atuambie? ni habari njema lakini bado naweka akiba ya maneno
 
Why always Kiba ? Kila siku anahujumiwa yeye tu...akifanya kazi nzuri za kimataifa sidhani kama atakuwa anapatwa na hizi sintofahamu
Hahahaha,,naona nia ovu uliyo Nayo,, fanya hivi,,
Ushauri unaotaka uleta uanzishie thread nyingine
Isiwe tabu!!! Fanya Kama kumshauri!!!
 
Wowzerrrrrrrrr
Dah afadhali siku inazidi kuisha vizuri jamani!
Mungu mkubwa,hongera Ali Kiba,hongera Kiba fans [emoji8] [emoji8] [emoji8]
MSIMAMIZI WA HIZI TUZO ATAKUWA NI YULE ALIYESIMAMIA KULE ZENJI
 
Heheeee!! Amini tuu, Kama huwezi wewe weka akiba yako mpaka hata mwaka kesho!!! Time will tell au siyo?????
hivi hao waandaaji wamekili kwenye platform gani? kwenye website yao? kwenye social networks page zao au walimpigia simu Millard ayo atuambie? ni habari njema lakini bado naweka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…