- Thread starter
- #61
Ebwana,leo nimeshuhudia jinsi fans wanavyoweza kumpigania msanii wao!!! OMG,,that's fantastic!!!! Haters sasa wanatunga story story za kipuuzi puuzi ili ionekane kama nini vile!! Sema niniii!!!??? TushawashtulkiaaaaaaWowzerrrrrrrrr
Dah afadhali siku inazidi kuisha vizuri jamani!
Mungu mkubwa,hongera Ali Kiba,hongera Kiba fans [emoji8] [emoji8] [emoji8]
![]()