Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Kuna kila ishara ya michezo ya nyuma ya pazia ndio maana Kiba anakuwa mtu wa emotion mara nyingi na analalamika kuhujumiwa Ila jamii haimuelewi
Kabisa mkuu,watu walimtukana sana humu.
Hawajuu Kiba ni mkongwe ktk muziki hizi figisu anazijua zote.
Mtu kaanza kushabikia muziki enzi za Diamond basi anajikuta anajuaaaaaa zaidi ya akina Kiba wenye muziki wao.
 
Ni wacheza mieleka kati ya hillary na trump japo wengi tunampenda jay z kutokana amemuoa hadija kopa yule demu wa zamani wa justin beiber
Aisee... i have no idea kabisa na hizo ndoa wanazooana huwa za Mikeka zaidi trust me
 
Kwasababu wizkid kafuta post ya tuzo ndo kigezo cha kuamin watarudishiwa?? Watachelewa coz wiz mbona kafuta hata zile tuzo mbili alizopewa SA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nieke akiba ya maneno.... Wazee wa kugombania tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inabid mtengeneze habar mutamgaz3 kisha mshtuke tena mnapoisikia kanakwamba hamjui
 

Yaan team kiba sijui mna matatizo gani tena nahisi kwny tathmin ya 2/10 ni vichaa nahisi walimaanisha team kiba

Yan katuzo kamoja watu hatupumui
By the way juzi Diamond kachukua tuzo 3 kiroho safi Team diamond wametulia wala hawakuw na papala sas katuzo kamoja hako tena ka kubembeleza kwa MTV EMA ndo wanaanzisha uzi kelele kibao

Cjui Team kiba mlikula maharage ya wapi................
#akili_fupi_kama_kipensi_cha_kiba kile cha fiesta
 
Kabisa mkuu,watu walimtukana sana humu.
Hawajuu Kiba ni mkongwe ktk muziki hizi figisu anazijua zote.
Mtu kaanza kushabikia muziki enzi za Diamond basi anajikuta anajuaaaaaa zaidi ya akina Kiba wenye muziki wao.

Ahahahahah nacheka kwa dharau, kwaiy ww ndo umeanza kufatlia muzik Enzi za Yondo Sister???

Hakunaga tuzo ya msanii mwny sauti nzur, kiba ana saut nzur tu..........
 
tumekula maharage ya mtvema!!chaaaa
 
Hamna jambo linalonichekesha Kama kusikia haya kutoka team diamond na yeyote asiyemkubali kiba
1.eti kituzo chenyewe kimoja!!! Mmesahau mlisema kiba hamfikii wizkid hata robo,,,kiba mwisho eatvawards,,sahivi story imebadilikaaaa
2.tuzo yenyewe ya kubembeleza,!!!!!wakati tuzo imetolewa kwa vigezo, mwenye vigezo vya kushinda ni alikiba japo walitaka kumfanyia fit in a!!!
3.hatutanominatiwa tena!!!,, malalamiko hayahusiani na nominations!! BTW malalamiko yameonekana reasonable,,Hakuna sababu ya kuacha kunominatiwa kama atakuwa na vigezo!,tukikidhi vigezo Kama tulivyokidhi kwenye nomination hii tataenda tena!!!!
Mwisho!!!
 

Why Diamond and sio Shilole na wengine wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…