Hamna jambo linalonichekesha Kama kusikia haya kutoka team diamond na yeyote asiyemkubali kiba
1.eti kituzo chenyewe kimoja!!! Mmesahau mlisema kiba hamfikii wizkid hata robo,,,kiba mwisho eatvawards,,sahivi story imebadilikaaaa
2.tuzo yenyewe ya kubembeleza,!!!!!wakati tuzo imetolewa kwa vigezo, mwenye vigezo vya kushinda ni alikiba japo walitaka kumfanyia fit in a!!!
3.hatutanominatiwa tena!!!,, malalamiko hayahusiani na nominations!! BTW malalamiko yameonekana reasonable,,Hakuna sababu ya kuacha kunominatiwa kama atakuwa na vigezo!,tukikidhi vigezo Kama tulivyokidhi kwenye nomination hii tataenda tena!!!!
Mwisho!!!