Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Sasa ule mkwanja wa tuzo Wiz atarudsha? Au ndio yale mambo ya wakuu wa mikoa na mwenge.

BTW hawa jamaa wanaondaa tuzo wamejidhalilisha sana na wamemuumiza sana Wizkid kwenye hili.
Nitafurahi Kiba akiikataa ili kutunza heshima yake pia.
Yaani kujidhalilisha wajidhalilishe wao kwa kutaka kufunga goal la mkono alafu unasema Ali akatae tuzo Eboooooooo

Tuzo anastahili Ali na ni jambo la kujivunia kupewa Tuzo yake.
 
Yaan team kiba sijui mna matatizo gani tena nahisi kwny tathmin ya 2/10 ni vichaa nahisi walimaanisha team kiba

Yan katuzo kamoja watu hatupumui
By the way juzi Diamond kachukua tuzo 3 kiroho safi Team diamond wametulia wala hawakuw na papala sas katuzo kamoja hako tena ka kubembeleza kwa MTV EMA ndo wanaanzisha uzi kelele kibao

Cjui Team kiba mlikula maharage ya wapi................
#akili_fupi_kama_kipensi_cha_kiba kile cha fiesta
Haters[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mtakoma mwaka huu na badooo!!! Nakumbuka tuzo alipopewa wizkid mliponda kwamba Ali kiba hakustahili sa hivi haki inatendeka bado manonyesha chuki za waziwazi, HV kwann nyie team domo na domo wenu na sallam mnamuonea wivu king wetu kwa haya mafanikio yake , acheni roho mbaya basi sisi mbona tumenyamaza
 
Haters[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mtakoma mwaka huu na badooo!!! Nakumbuka tuzo alipopewa wizkid mliponda kwamba Ali kiba hakustahili sa hivi haki inatendeka bado manonyesha chuki za waziwazi, HV kwann nyie team domo na domo wenu na sallam mnamuonea wivu king wetu kwa haya mafanikio yake , acheni roho mbaya basi sisi mbona tumenyamaza
7c77067b88d1006832d3cfdab8c4fe59.jpg
 
View attachment 431865 Alafu baadaye mkinyimwa collabo mtasema diamond platnumz kawabania, mmetukana ww mpaka mwenyewe kamaindi hii post imetumwa masaa kumi yaliyopita, tubadilike sometime unaweza ukaamini unajenga kumbe unabomoa
Kwahiyo collabo mpaka wizkid tu, akwendree kwani ye nan au nani anamshobokea [HASHTAG]#hapakingtu[/HASHTAG]
 
Yaani kujidhalilisha wajidhalilishe wao kwa kutaka kufunga goal la mkono alafu unasema Ali akatae tuzo Eboooooooo

Tuzo anastahili Ali na ni jambo la kujivunia kupewa Tuzo yake.
Ahahahaha poa mkuu wacha abebe... Lakini nafikiri kukataa hii kutampa heshima zaidi na itakua topic ya karne.
 
Mi nafikiri hata Donald Trump amepewa ushindi kimakosa.
 
14717564_1815976232021055_2242740469232566272_n.jpg.pagespeed.ce.q0XkUv1SKZ.jpg


Katika hatua ambayo imewafurahisha mashabiki wengi wa muziki nchini, MTV EMA wamepokonya tuzo ya Best African Act na Worldwide Act, Wizkid na kumpa Alikiba ambaye alistahili kushinda.

Siku chache zilizopita, kulitokea sintofahamu baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ya tuzo hizo, kura zilionesha kuwa ni Alikiba ndiye aliyeshinda.

Alikiba amethibitisha taarifa hizo Jumatano hii.

Amesema baada ya mashabiki wake kulalamika kuhusiana na mkanganyiko huo, MTV EMA walifuatilia na kukiri kuwa na makosa na kuutumia ujumbe uongozi wake kuwa Alikiba ndiye mshindi halali, na sio Wizkid.

“Sasa ndio nimepata confirmation kwamba ni kweli tuzo inakuja Tanzania na vile vile mimi siwezi kuzungumzia, nitasubiri mpaka nizishike,” amesema Kiba.

Muimbaji huyo amedai kuwa habari hizo amezipokea kwa furaha kubwa na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumwezesha kushinda na kuwa nyuma yake.

Wakati hup huo Kiba amempongeza Wizkid kwa ushindi wa tuzo nyingine ya Afrima.
Hatua hiyo imemfanya Wizdik kukasirika na kuamua kufuta posts zote za tuzo hiyo kwenye mitandao yake na kusema "wajinga ni wengi mno hapa duniani, Mungu atusaidie tu"

xWizkid.jpg.pagespeed.ic.x7uC9X_J8s.jpg


Source: Bongo 5
 
Kiba kalilia sana ngoja apewe atulie kwa mana kuzungumzia kinoma yani apewe ila sio pale stejini atapewa mtaani[emoji2]
 
Ushindi ni ushindi tu hana haja ya kujitafakar zaidi ya kusonga mbele mashabiki wake tupo nyuma
Kiba hashindani na wizkid anapigania tuzo yake ambayo alipewa mtu mwingine kimakosa,nyie watu mbon uelewa wenu mdogo sana?kweli acha CCM atawale milele coz watu wenyewe anaowatala hawajielewi hata haki haki zao wanaogopa mtu fulani yupo juu
 
izi tuzo za mtv azielewek...edi kenzo alidhulumiwa tuzo ya best live act mtv mama..n akacomplain ila wakapotezea...mimi namashaka na tuzo za wizkid za mtv mama...kama kaeza chukua zote zile..aka kakamshinda..somethn is wrong
 
Back
Top Bottom