Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Hamna jambo linalonichekesha Kama kusikia haya kutoka team diamond na yeyote asiyemkubali kiba
1.eti kituzo chenyewe kimoja!!! Mmesahau mlisema kiba hamfikii wizkid hata robo,,,kiba mwisho eatvawards,,sahivi story imebadilikaaaa
2.tuzo yenyewe ya kubembeleza,!!!!!wakati tuzo imetolewa kwa vigezo, mwenye vigezo vya kushinda ni alikiba japo walitaka kumfanyia fit in a!!!
3.hatutanominatiwa tena!!!,, malalamiko hayahusiani na nominations!! BTW malalamiko yameonekana reasonable,,Hakuna sababu ya kuacha kunominatiwa kama atakuwa na vigezo!,tukikidhi vigezo Kama tulivyokidhi kwenye nomination hii tataenda tena!!!!
Mwisho!!!
4a4f02908d970e823bcc41da27b39887.jpg
 
Mwenyewe bana,na wewe akili ndefu kama lile domo la diamond linavyoburuzikaga km pepe DCM
 
Iyo tuzo akipewa kiba !!!!!!!!kwanza Mshawai kusikia wapi
 
4a4f02908d970e823bcc41da27b39887.jpg
Alafu baadaye mkinyimwa collabo mtasema diamond platnumz kawabania, mmetukana ww mpaka mwenyewe kamaindi hii post imetumwa masaa kumi yaliyopita, tubadilike sometime unaweza ukaamini unajenga kumbe unabomoa
 
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!
Kwa hiyo kutokumfahamu siyo kosa. Karibu,,
mmoja kati ya wale wanne
 
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!
Kwa hiyo kutokumfahamu siyo kosa. Karibu,,
Hellow hater
 
Lakini Nadhani Kiba inabidi akae chini ajitafakari kama anaweza ku compete na mafanikio ya Wizkid katika anga ya international/worldwide music let alone kuongoza kwenye hizo votes...ukweli utamweka Kiba na mashabiki wake Huru...aachane na hizo siasa za public sympathy am sure he can do better zaidi ya anachofanya sasa hv
Ushindi ni ushindi tu hana haja ya kujitafakar zaidi ya kusonga mbele mashabiki wake tupo nyuma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
Tupo tutakaopiga. U just relax honey! [emoji6]
 
Back
Top Bottom