Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe baki huko,wenzio tunasherehekea tu.Hivi hiyo habari umethibitisha kama kweli? usiombe ikawa ya uongo!!
Ni wacheza mieleka kati ya hillary na trump japo wengi tunampenda jay z kutokana amemuoa hadija kopa yule demu wa zamani wa justin beiberNdio kina nani hao?
Kabisa mkuu,watu walimtukana sana humu.Kuna kila ishara ya michezo ya nyuma ya pazia ndio maana Kiba anakuwa mtu wa emotion mara nyingi na analalamika kuhujumiwa Ila jamii haimuelewi
Aisee... i have no idea kabisa na hizo ndoa wanazooana huwa za Mikeka zaidi trust meNi wacheza mieleka kati ya hillary na trump japo wengi tunampenda jay z kutokana amemuoa hadija kopa yule demu wa zamani wa justin beiber
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nieke akiba ya maneno.... Wazee wa kugombania tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi mwakani tusipige kura
kama ni kweli tuzo za MTVMAMA ndo zinaanza kuwa hazina thamani hivi...
Al-iz-wellAl is wel
kweli mkuu.Kuna kila ishara ya michezo ya nyuma ya pazia ndio maana Kiba anakuwa mtu wa emotion mara nyingi na analalamika kuhujumiwa Ila jamii haimuelewi
Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Kabisa mkuu,watu walimtukana sana humu.
Hawajuu Kiba ni mkongwe ktk muziki hizi figisu anazijua zote.
Mtu kaanza kushabikia muziki enzi za Diamond basi anajikuta anajuaaaaaa zaidi ya akina Kiba wenye muziki wao.
TehKwanini unanihita hivyo, hautaki mtu asiulize kitu au?
tumekula maharage ya mtvema!!chaaaaYaan team kiba sijui mna matatizo gani tena nahisi kwny tathmin ya 2/10 ni vichaa nahisi walimaanisha team kiba
Yan katuzo kamoja watu hatupumui
By the way juzi Diamond kachukua tuzo 3 kiroho safi Team diamond wametulia wala hawakuw na papala sas katuzo kamoja hako tena ka kubembeleza kwa MTV EMA ndo wanaanzisha uzi kelele kibao
Cjui Team kiba mlikula maharage ya wapi................
#akili_fupi_kama_kipensi_cha_kiba kile cha fiesta
Mwingine huyuuuuKwasababu wizkid kafuta post ya tuzo ndo kigezo cha kuamin watarudishiwa?? Watachelewa coz wiz mbona kafuta hata zile tuzo mbili alizopewa SA
Hamna jambo linalonichekesha Kama kusikia haya kutoka team diamond na yeyote asiyemkubali kiba
1.eti kituzo chenyewe kimoja!!! Mmesahau mlisema kiba hamfikii wizkid hata robo,,,kiba mwisho eatvawards,,sahivi story imebadilikaaaa
2.tuzo yenyewe ya kubembeleza,!!!!!wakati tuzo imetolewa kwa vigezo, mwenye vigezo vya kushinda ni alikiba japo walitaka kumfanyia fit in a!!!
3.hatutanominatiwa tena!!!,, malalamiko hayahusiani na nominations!! BTW malalamiko yameonekana reasonable,,Hakuna sababu ya kuacha kunominatiwa kama atakuwa na vigezo!,tukikidhi vigezo Kama tulivyokidhi kwenye nomination hii tataenda tena!!!!
Mwisho!!!