Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

Unampa sifa asizostali, ni rais wa kiwango cha kawaida mnoo miongoni mwa marais duniani, hana maono!!.
Ndio maana unamsikia akiwaambia wasaidizi wake 'hili nalo muende mkalitazame'
Wenye akili Timamu wanatambua namna Rais Samia alivyo na maono makubwa pamoja na jicho la Tai la kuona mbali. Ndio maana kama Taifa tunafanya vyema sana kiuchumi.
 
Kijana una shida ya afya akili. Samia ni muuaji, mtekaji, fisadi, na mkiukaji namba Moja wa haki za binadamu. Mataifa wanamjua vyema
 
Juzi Serikali ilifunga barabara kwaajili ya mkutano kujadili mgogoro wa Congo leo ikiwa tu ni ya siku saba waasi wa M23 wameingia mji wa pili (Bukavu). Inauma ila level ya kupata Nobel bado sana, tuendelee kutoa mitungi na bodaboda zenye picha yake, atapata nobel ya machawa kushukuru kulambishwa asali.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mama ni Rais wa Tanzania na siyo Congo. Jukumu kuu la ulinzi wa Congo lipo mikononi na linapswa kufanywa na kutekelezwa na wacongo wenyewe Kabla ya sisi kwenda kuwasaidia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…