Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

Mungu saidia isije kuwa kweli kwamba % kubwa ya ccm na viongoz wana hulka kama yako.
Maana hata midoli ya duka za nguo yamkini zina akili kulko wenye hulka kama hizo.
 
Labda tuzo za machawa
 
Sijawahi changia nyuzi za huyu jamaa ila nazani sio mzima kabisa kichwani mwake khaa hata unao wapigia debe watakuwa wanakushangaa kwa ujinga unao andika humu
 
Sijawahi changia nyuzi za huyu jamaa ila nazani sio mzima kabisa kichwani mwake khaa hata unao wapigia debe watakuwa wanakushangaa kwa ujinga unao andika humu
Mimi siyo mpiga debe
 

Labda ziwe fake kama PHD zake
 
Lukas, shule umesoma kweli ? Au janja janja ? Okay unajua nomination ya Nobel Prize inafanyikaga SEPTEMBER tu , na hii ni FEBRUARY, ANYWAYS QUICK FACTS ABOUT NOBEL PRIZE
  • The nomination processes start in September each year.
  • No person can nominate herself/himself for a Nobel Prize.
  • The names of the nominees cannot be revealed until 50 years later.
  • All nominations are collected in β€Šone archive
Ulisema bullet namba mbili inasema huwez kujichagua mwenyewe kama mama alivyojichagua mwenyewe kwanza hiyo kamati kuu yenu. Nadhani utakuwa umeelewa kule huwezi kujichagua
 
🀣 🀣 🀣
 
Mipango ya serikali ni kuhakikisha kuwa bei ya gas inakuwa ya chini ambayo wananchi wengi watakuwa na uwezo wa kumudu gharama zake na hivyo kuachana na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi wa aina yoyote ile
Mkuu kuna uvumbuzi mpya hapo Zimbabwe wa kuvuna mawimbi na Kuya badili kuwa nishati.

Nishati hii ni ya bei nafuu, ukisha kuwa na mtambo huo unapata nishati safi na ya kutosha daima.

Dunia inaenda mbio Mwashambwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…