Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

Na na na naaa badooooo[emoji23]
Yaani na bado kwa sababu hakupata tuzo?! Team Kiba, Team Zari, au Team Hamisa? Manake lazima utakuwa unatoka kwenye moja ya hayo makundi hususani Team Zari au Team Hamisa ambao bado wana machungu ya watu wao kupigwa chini baada ya kufanywa mashine za kutotolea watoto!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jipige doko. Afu usinihusishe ni timu kalumanzira,kamgambire mfyuuuu

Ua jekundu lilipiga mtu chini bana
 
Naona kama umeandika huku umefurahi sana.
 
Na hapo hawajatoa dola yoyote zaidi ya kumnusisha pussy so hot[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimbukeni wa pussy utamuua anataka kushindana na alipotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…