University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Tatizo mnafuatlia page za udaku mbona diamond platnumz kapata tuzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana anajifanya yuko busy na Party kumbe anapunguza machungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na na na naaa badooooo[emoji23]
Yaani na bado kwa sababu hakupata tuzo?! Team Kiba, Team Zari, au Team Hamisa? Manake lazima utakuwa unatoka kwenye moja ya hayo makundi hususani Team Zari au Team Hamisa ambao bado wana machungu ya watu wao kupigwa chini baada ya kufanywa mashine za kutotolea watoto!Na na na naaa badooooo[emoji23]
Party ilikuwa lini na matokeo ya tuzo yametangazwa lini?!Ndio maana anajifanya yuko busy na Party kumbe anapunguza machungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana anajifanya yuko busy na Party kumbe anapunguza machungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani na bado kwa sababu hakupata tuzo?! Team Kiba, Team Zari, au Team Hamisa? Manake lazima utakuwa unatoka kwenye moja ya hayo makundi hususani Team Zari au Team Hamisa ambao bado wana machungu ya watu wao kupigwa chini baada ya kufanywa mashine za kutotolea watoto!
Mmmmh angalia hiiNdio maana anajifanya yuko busy na Party kumbe anapunguza machungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa party ya mashangingi[emoji23][emoji23][emoji23] party yenyewe ilibuma
Ukiangalia wewe inatosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh angalia hiiView attachment 891338
Jana usiku na party juzii kama sikosei na kapewa tuzo hii hapaParty ilikuwa lini na matokeo ya tuzo yametangazwa lini?!
Naona kama umeandika huku umefurahi sana.Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year
Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Ukiangalia wewe inatosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aseme asante omarion[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya lakini kapewa usiseme kakosa hizo tuzo.Ukiangalia wewe inatosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa party ya mashangingi
Haya lakini kapewa usiseme kakosa hizo tuzo.
Haya lakini kapewa usiseme kakosa hizo tuzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimbukeni wa pussy utamuua anataka kushindana na alipotokaNa hapo hawajatoa dola yoyote zaidi ya kumnusisha pussy so hot[emoji23][emoji23][emoji23]