Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

Mida ya kazi mkuu. Malumbano jioni. Nikumbushe eti ee
 
Wanawake wote wenye nguvu wamemtema na wale ndo walikua na team za wapiga kura...muache ajue nguvu ya wanawake labda atawaheshimu...!!
Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;
✓diamond platinumz.
✓harmonize.
✓ali kiba.
✓vanessa mdee.
✓ommy dimpoz.
✓jux.
 
Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;
✓diamond platinumz.
✓harmonize.
✓ali kiba.
✓vanessa mdee.
✓ommy dimpoz.
✓jux.
Hao wote usiwaweke na diamond platinums....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…