Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

Mida ya kazi mkuu. Malumbano jioni. Nikumbushe eti ee
Hahaa! You're too smart to believe ni Zari ndie kamuacha Mondi!!! Hivi unakuta Boyfriend wako anashikwashikwa kwa mahaba na ex wake! Katika hali ya kawaida unajua kabisa kwamba ataomba msamaha lakini hafanyi hivyo lakini ndo kwanza anazidisha!

Hivi hapo uki-move on ndo ujigambe kwamba umeacha?!
 
University_Promo hapa vipi Mkuu
Screenshot_2018-10-09-10-16-54.jpg
 
Wanawake wote wenye nguvu wamemtema na wale ndo walikua na team za wapiga kura...muache ajue nguvu ya wanawake labda atawaheshimu...!!
Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;
✓diamond platinumz.
✓harmonize.
✓ali kiba.
✓vanessa mdee.
✓ommy dimpoz.
✓jux.
 
Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;
✓diamond platinumz.
✓harmonize.
✓ali kiba.
✓vanessa mdee.
✓ommy dimpoz.
✓jux.
Hao wote usiwaweke na diamond platinums....!!!
 
Back
Top Bottom