University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Hajapata hata mojaVipi yule straika wa kosto yunioni AKA mzee wa Mo Faya anayesugua benchi alikuwa nominated award yoyote? Au alialikwa hata kuangalia shoo live?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajapata hata mojaVipi yule straika wa kosto yunioni AKA mzee wa Mo Faya anayesugua benchi alikuwa nominated award yoyote? Au alialikwa hata kuangalia shoo live?
Kivipi mkuu au fuatlia mwenyewe nenda website ya Afrimma.Hizo screenshots ziko sawa kweli?
Labda simu yako inamatatizoHizo screenshots ziko sawa kweli?
Hahaa! You're too smart to believe ni Zari ndie kamuacha Mondi!!! Hivi unakuta Boyfriend wako anashikwashikwa kwa mahaba na ex wake! Katika hali ya kawaida unajua kabisa kwamba ataomba msamaha lakini hafanyi hivyo lakini ndo kwanza anazidisha!
Hivi hapo uki-move on ndo ujigambe kwamba umeacha?!
Labda simu yako inamatatizo
Umeangalia vzr hz screenshots zako? Huo wimbo kuna sehemu umesema feat Neyo ,nyingine Omarion ,tazama vzrKivipi mkuu au fuatlia mwenyewe nenda website ya Afrimma.
Jiongeze mkuu Afrimma wamekoseaUmeangalia vzr hz screenshots zako? Huo wimbo kuna sehemu umesema feat Neyo ,nyingine Omarion ,tazama vzr
Jiongeze bwana kuna wimbo diamond kaimba na neyo unaitwa African beautiful?University_Promo hapa vipi Mkuu View attachment 891562
Mbona taarifa imetolewa cheki post za mwanzo mkuu.Toa taarifa za uhakika tuzo ya best collaboration umechkua ww
Kivipi mkuu au fuatlia mwenyewe nenda website ya Afrimma.
Hahahaha,siku njema MkuuJiongeze mkuu Afrimma wamekosea
Pomoja tuijenge flyover yetu Tanzania.Hahahaha,siku njema Mkuu
Hahahaha ,nadhani umegundua kitu hapo juu eeh, haya endeleeni na kazi vijanaPomoja tuijenge flyover yetu Tanzania.
Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;Wanawake wote wenye nguvu wamemtema na wale ndo walikua na team za wapiga kura...muache ajue nguvu ya wanawake labda atawaheshimu...!!
Hao wote usiwaweke na diamond platinums....!!!Unamaanisha wasanii wote wameshindwa kisa wanawake maana kulikuwa kuna;
✓diamond platinumz.
✓harmonize.
✓ali kiba.
✓vanessa mdee.
✓ommy dimpoz.
✓jux.
Hii hapo mkuuMkuu hebu angalia screenshots na ulichoandika kuna utofauti kdg, pamoja kwamba macho yangu si mazuri navaa miwani lkn naona km umekosea vile
Kivipi?Hao wote usiwaweke na diamond platinums....!!!