donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 773
Bado hawajamalizaMchezaji bora- Christiano Ronaldo.
Kwahyo katudanganya auBado hawajamaliza
Arise and Shine ya MwamposaAisee wanaonesha channel gani.?
Ndiyo mi naongeza kadri inavyokwenda mubasharaKwahyo katudanganya au
Sawa mkuuNdiyo mi naongeza kadri inavyokwenda mubashara
Super Sport 3 lakini hata ukisearch unaweza kupata live stream kwenye simuAisee wanaonesha channel gani.?
AiseeeArise and Shine ya Mwamposa
Mobdro ni channel gani wanaonyesha?Super Sport 3 lakini hata ukisearch unaweza kupata live stream kwenye simu
Sijakuelewa vizuri mimi naangalia hapaMobdro ni channel gani wanaonyesha?
Hata mimi nahisi hivyoL. Modric
Tu-betHata mimi nahisi hivyo
Tayari kachakuaTu-bet
vipi yule bondia mwakinyo ajachukua chochote kitu huko?Goli bora "Puskas Award" -Mohammed Salaa (Liverpool vs Everton)
Kocha Bora -Didier Deschamps ( France )
Kipa Bora - Thibaut Courtois ( Real Madrid & Belgium)
Kocha Bora Wa Wanawake- Reynald Pedros ( Lyon Womens Team )
Mashabiki Bora- Mashabiki Wa Timu Ya Taifa Ya Peru
Mchezaji Muungana ( Fair Play)- Lennart Thy ( German)
TIMU BORA
1.DE GEA
2.ALVES
3.VARANE
4.RAMOS
5.MARCELLO
6.MODRIC
7.KANTE
8.HAZARD
9.MESSI
10.MBAPPE
11.RONALDO
Messi Na Ronaldo Hawajahudhuria!!!
Mchezaji Bora Wa Kike- Marta (Orlando Pride & Brazil)
MCHEZAJI BORA- LUKA MODRIC