Tuzo za FIFA 2018

Tuzo za FIFA 2018

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
773
Goli bora "Puskas Award" -Mohammed Salaa (Liverpool vs Everton)

Kocha Bora -Didier Deschamps ( France )

Kipa Bora - Thibaut Courtois ( Real Madrid & Belgium)

Kocha Bora Wa Wanawake- Reynald Pedros ( Lyon Womens Team )

Mashabiki Bora- Mashabiki Wa Timu Ya Taifa Ya Peru

Mchezaji Muungana ( Fair Play)- Lennart Thy ( German)

TIMU BORA

1.DE GEA
2.ALVES
3.VARANE
4.RAMOS
5.MARCELLO
6.MODRIC
7.KANTE
8.HAZARD
9.MESSI
10.MBAPPE
11.RONALDO

Messi Na Ronaldo Hawajahudhuria!!!

Mchezaji Bora Wa Kike- Marta (Orlando Pride & Brazil)

MCHEZAJI BORA- LUKA MODRIC
 
Goli bora "Puskas Award" -Mohammed Salaa (Liverpool vs Everton)

Kocha Bora -Didier Deschamps ( France )

Kipa Bora - Thibaut Courtois ( Real Madrid & Belgium)

Kocha Bora Wa Wanawake- Reynald Pedros ( Lyon Womens Team )

Mashabiki Bora- Mashabiki Wa Timu Ya Taifa Ya Peru

Mchezaji Muungana ( Fair Play)- Lennart Thy ( German)

TIMU BORA

1.DE GEA
2.ALVES
3.VARANE
4.RAMOS
5.MARCELLO
6.MODRIC
7.KANTE
8.HAZARD
9.MESSI
10.MBAPPE
11.RONALDO

Messi Na Ronaldo Hawajahudhuria!!!

Mchezaji Bora Wa Kike- Marta (Orlando Pride & Brazil)

MCHEZAJI BORA- LUKA MODRIC
vipi yule bondia mwakinyo ajachukua chochote kitu huko?
 
Jamaa zetu naona wote wawili hawakuonekanwa maeneo ya tukio.

Ubinafsi kitu kibaya sana.
 
Fifa katika ubora wao kama kawaida.

-Tunzo ya Kipa bora wa mwaka ameshinda courtour Lakini kikosi bora cha mwaka mshindi wa nafasi ya kipa ni DE gear.
-Salah ambaye anacheza namba moja kabisa na Messi amatokea wa tatu kwenye kinyang'anyiro cha uchezaji bora. Lakini kwenye timu ya mwaka hayumo na nafasi yake yupo Messi.
Jamaa hawajielewi ata wanalolifanya kabisa. Hizo tunzo mbili zote zilatakiwa kushindwa na mtu mmoja tu.

-Alafu bado Alves mpaka leo anachaguliwa beki bora ya klia wakati kwenye ramani ya mpira hayumo tena kabisa. Hata uo msimu hakumaliza, Namba yake siyakudumu, Na amepoteza kabisa uwezo wake kwa miaka sasa. Hivi unawezaji acha kumchagua Carvajal au Kimmich.
-Na wamemueka Hazard kama ni midifield wakawaacha De bryune, Kroos. Hivi hazard ni midifield ? au ndo walishalazimisha wamchomeke popote.
 
Back
Top Bottom