Tuzo za kili leo:jide kunyakua tuzo ya mwanamuziki bora wa kike

wewe mwenyewe una kesi ya kumlazimisha ruge akukule kabang'
 
sawa houseboy wa jide.:A S kiss:
 
labda akatambike umemsahau Linnah mtoto sauti kama ndege mwanana team Linnah tozo yetu hiyo. waache mazoea!
eti atachukua yeye kwa lipi na nyimbo yake ya kufukuzia ndege mashambani,Sasa ni mwendo wa vizazi vipya wazee tupa ule!

halafu umejitoa ufahamu kabisa kuna uzi ulianzisha kuhusu clouds media nikagundua kuwa unatumia zaidi tundu la chini kuangalia masuala hata usiyoyajua nyuma mbele, take care of ur ass utajapasuka wewe!
 
unatia kichefuchefu wewe, hii ni dunia wewe hakuna mwenye hatimiliki, kila siku ukitaka kujudge fanya check and balance, sawa wewe punk ass! kila siku unaitetea clouds media na kumponda dada wa watu jide, utapasuliwa marinda wewe kwa umaskini wako wa akili na njaa zako, nasubiri ban kwa ajili yako wewe
 
unajuwa tofauti ya kuongea na kuandika?
Kama hujui nenda kajiandikishe Memkwa...

umeulizwa we wa kike au wa kiume make unavojipendekeza kwa kina ruge unatupa wasiwasi na jinsia yako,. Ebu twondolee utata we ni ke au me??
 
umeulizwa we wa kike au wa kiume make unavojipendekeza kwa kina ruge unatupa wasiwasi na jinsia yako,. Ebu twondolee utata we ni ke au me??

duh kusoma hujui, basi hata Picha huoni?
Then njoo na thread ambayo mi namfagilia Ruge ntakupa zawadi ya kukupakata, maana unaonekana una nyonga manshaalah...

Teh teh teh
 
Majambazi wa kazi za wasanii mpo wengi
 
duh kusoma hujui, basi hata Picha huoni?
Then njoo na thread ambayo mi namfagilia Ruge ntakupa zawadi ya kukupakata, maana unaonekana una nyonga manshaalah...

Teh teh teh

Wala jasho la wasanii mnajulikana
 
Na mshindi ni JIDE a.k.a COMANDO.
 
tim ANAKONDA forever JIDEEEEEEE SUPER DUPA WOMAN.acyekubali akajinyonge get la CLOUDS
 
Washindi wengi hawakwenda kuchukua tuzo zao. Ina maana gani?
 
WARUMI umetishaaaaaaa,JIDE FOREVERRRRRRRRRR.....HATERS MNA LINGINEEEEEEEEE?????,APO JOTO HASIRA TUUU.....
 
am so happy jide kachukua hii tunzo
 
we hata hujui unachoandika.unadandia tren kwa mbele pole wee!
 
duh kusoma hujui, basi hata Picha huoni?
Then njoo na thread ambayo mi namfagilia Ruge ntakupa zawadi ya kukupakata, maana unaonekana una nyonga manshaalah...

Teh teh teh

skuizi mnaopakatwa nanyie mnapakata duuu hii ni sawa na sisimizi kummeza tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…