UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
we umenena siyo huyo mwenye kesi muda huu atafakari kesi aliyoianzisha kwa mikono yake.Ivi hana washauri huyo dada namuonea huruma atakavyofirisiwa na kurudi kulima mihogo aje kutuuzia tule.Kesi unaanzisha wewe eti umma ukuonee huruma Ruge, Kusaga Kuleni naye sahani moja iwe fundisho kwa wale wote wanaodhani wapo juu ya sheria!
wewe mwenyewe una kesi ya kumlazimisha ruge akukule kabang'