Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.

Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini

Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas hili Tamasha

1. Kwenye Opening Speech, Rais wa Shirikisho badala ya Kujikita kwenye Core Bussiness, hapa ni Football, kuelezea Mafanikio ya Msimu uliopita, Challenges, Expectations na means in hand za kufikia Expetations , Raisi ametumia muda Mwingi kuongea Uchawa, Kusifia SGR na kauli mbiu za wana Siasa.

Rais amesahau Mpaka ku recognize Efforts za wadhamini wa Ligi, NBC, watu Binafsi waliowekeza kwenye Tanzania Footbal kama GSM, Azam, Mo wa Makolo etc ambao Kimsingi ndio Siri ya Success ya Ligi yetu, what a shame

2. ⁠Msigwa, Katibu Mkuu, same Mistake, muda Mrefu anafanya Uchawa, anajichanganya kuwa tuko Vizuri, Serikali imewekeza, Mwishowe anakuja kujikana kwa kusema hatujatoboa na anawaomba wadau wasaidie kuwekeza kwenye Miundombinu ya Soccer Mfano Sports Academy etc, Msigwa amenisikitisha kwa kuto wa recognise NBC, Wadhamini wa Ligi

3. ⁠Waandaaji wa Tamasha la ovyo, hakuna Coordination kati ya wanachoongea na Bahasha zinaletwa ku unlock tukio, what a shame, presence ya washindi imekuwa ya hovyo

Niishie hapa, TFF jirekebisheni
 
Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani.
Huyo nyoka mdogo ni rais wa TFF
Kiungo Bora ilikuwa naona ya Ki Stephan, Kipre Junior na Feisal Salum
Ki Stephan Amelye’s Kiungo Bora
Utahan has Feisal anakuwa Mchezaji Bora
Yaani alisema Honda kwenye Kuing’oa Bora Kama Honda Kwenye Uchezaji Bora
 
Ukishaonja utamu wa VXV8 na kukaa 1st Class au Business Class kwenye ndege unaishi kwa hofu kubwa sana ya kupoteza hivyo vitu.

Kwa hiyo kila unapoongea lazima uweke maneno haya "Nampongeza sana Rais wetu [weka jina la Rais hapa] kwa kazi kubwa anayoifanya katika [taja baadhi ya miradi hapa]"

Kwenye matukio yoyote ambayo mteule wa Rais yupo, basi na mashushushu wapo wa kupeleka umbeya wa kama mteule anampamba Rais ama la.
 
Kiungo Bora ilikuwa naona ya Ki Stephan, Kipre Junior na Feisal Salum
Ki Stephan Amelye’s Kiungo Bora
Utahan has Feisal anakuwa Mchezaji Bora
Yaani alisema Honda kwenye Kuing’oa Bora Kama Honda Kwenye Uchezaji Bora
Hii ni lugha gani?
 
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.

Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini

Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas hili Tamasha

1. Kwenye Opening Speech, Rais wa Shirikisho badala ya Kujikita kwenye Core Bussiness, hapa ni Football, kuelezea Mafanikio ya Msimu uliopita, Challenges, Expectations na means in hand za kufikia Expetations , Raisi ametumia muda Mwingi kuongea Uchawa, Kusifia SGR na kauli mbiu za wana Siasa.

Rais amesahau Mpaka ku recognize Efforts za wadhamini wa Ligi, NBC, watu Binafsi waliowekeza kwenye Tanzania Footbal kama GSM, Azam, Mo wa Makolo etc ambao Kimsingi ndio Siri ya Success ya Ligi yetu, what a shame

2. ⁠Msigwa, Katibu Mkuu, same Mistake, muda Mrefu anafanya Uchawa, anajichanganya kuwa tuko Vizuri, Serikali imewekeza, Mwishowe anakuja kujikana kwa kusema hatujatoboa na anawaomba wadau wasaidie kuwekeza kwenye Miundombinu ya Soccer Mfano Sports Academy etc, Msigwa amenisikitisha kwa kuto wa recognise NBC, Wadhamini wa Ligi

3. ⁠Waandaaji wa Tamasha la ovyo, hakuna Coordination kati ya wanachoongea na Bahasha zinaletwa ku unlock tukio, what a shame, presence ya washindi imekuwa ya hovyo

Niishie hapa, TFF jirekebisheni
Goal la ... effect
 
Nilichoona jana ni kama tuzo zilitolewa kwa kulazimisha hasa kwavile Yanga ndio waliyo dominate kwenye tuzo. Hakukuwa na mpangilio na hawakutaka kupendezesha shughuli kabisa. Watu wamekaa kama wapo darasani. Zile tuzo nazo ziko ovyo ovyo kimuonekano hazivutii. Kila msimu mfungaji bora anapewa kiatu lakini jana mtu anapewa vitu vya ajabu ajabu. Kama walikuwa hawataki vile kutoa tuzo.
 
Akili za wabongo mkuu sisi ni wajinga,tunachanganya sana siasa na mpira eti unakuta mechi mgeni rasmini mwanasiasa,mbona ulaya hatuoni hayo makitu.
Serikaki inatumia simba na yanga kutufubaza akili
 
Back
Top Bottom