Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.
Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini
Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas hili Tamasha
1. Kwenye Opening Speech, Rais wa Shirikisho badala ya Kujikita kwenye Core Bussiness, hapa ni Football, kuelezea Mafanikio ya Msimu uliopita, Challenges, Expectations na means in hand za kufikia Expetations , Raisi ametumia muda Mwingi kuongea Uchawa, Kusifia SGR na kauli mbiu za wana Siasa.
Rais amesahau Mpaka ku recognize Efforts za wadhamini wa Ligi, NBC, watu Binafsi waliowekeza kwenye Tanzania Footbal kama GSM, Azam, Mo wa Makolo etc ambao Kimsingi ndio Siri ya Success ya Ligi yetu, what a shame
2. Msigwa, Katibu Mkuu, same Mistake, muda Mrefu anafanya Uchawa, anajichanganya kuwa tuko Vizuri, Serikali imewekeza, Mwishowe anakuja kujikana kwa kusema hatujatoboa na anawaomba wadau wasaidie kuwekeza kwenye Miundombinu ya Soccer Mfano Sports Academy etc, Msigwa amenisikitisha kwa kuto wa recognise NBC, Wadhamini wa Ligi
3. Waandaaji wa Tamasha la ovyo, hakuna Coordination kati ya wanachoongea na Bahasha zinaletwa ku unlock tukio, what a shame, presence ya washindi imekuwa ya hovyo
Niishie hapa, TFF jirekebisheni