Tuzo za TMA hiki cha Msanii Zuchu kuja na Madansa walivaa majoho ya madhabahu na misalaba kuimba matusi halikubaliki serikali ijue Wakristo tunahesabu

Mimi napinga dini za kuja na uzushi wao lakini katika hili nawasupport kondoo wa wazungu.
Mambo yao yaheshimiwe hasa na hao makobazistans wa paedophile muddy.

Wanawaharibia mood sana.
 
Ila maigizo ya manabii feki kina mwamposa, Geor Devie, Kiboko ya Wachawi mnayaruhusu?.
Acha aigize mbona wengi wanaigiza huko, kwanza hajatumia msalaba katumia jumlisha
Kama unapinga manabii feki na kuunga mkono ccm basi jua tu hauna akili hao manabii feki ni tawi la ccm na vibari vya kufanya hayo mambo ya kihuni wanapewa na CCM ndiyo maana huoni chochote cha maana wanacho fanywa ...ukristo wa kweli una nguzo zake namojawapo ni FANYA KAZI SIKU SITA YA SABA NI KWA BWANA ila leo makanisa feki yana fanya tofauti na hayo maagizo na yana baraka zote kutoka ccm ..makanisa yanakuwa open kila siku watu wanadaiwa sadaka kila siku .. ...mbona bongo flava wakiimba nyimbo za kizalendo wanadhibitiwa pspo hspo kuna yule ney anaimba nyimbo wala hazina matusi ila ccm inamzibiti amjiulizi hawa manabii feki ni mpango kamili wa ccm nikama ilivyo bakwata ni tawi la ccm ...tulifundishwa na serikali pamoja na ccm kuwa kuna maadui watatu nso ni
1)ujinga
2)maradhi
3)umasikini
Kumbe mzazi wa hao maadui watatu ni CCM sema hao maadui watatu ni watoto wa nje ya ndoa ...CCM inao watoto wawili wa ndani ya ndoa nao ni UFISADI NA RUSHWA...Hivyo yoyote apambanaye na hao maadui ajue tu kuwa anapambana na CCM
 
Umeandika gazeti refu ila Wrong message, mi siwezi kuwa mpumbavu wa Ccm wala mjinga wa Chadema
 
Umeandika gazeti refu ila Wrong message, mi siwezi kuwa mpumbavu wa Ccm wala mjinga wa Chadema
Sikusema wewe ila nimesema kama unachukia manabii feki basi jua tu kuwa ilo ni tawi la ccm ....kazi ya serikali ni kudhibiti kila uovu na matendo yasiyo ya haki ...swali je hao manabii feki wanavyo vibari vya serikali katika hayo wafanyayo ..wamepewa na nani ? Na kwa lengo gani ? Kama wananchi tumeweza kuwajua kuwa ni manabii feki iweje serikali iliyo wapa vibari isijue.
Tusipo tumia akili kumjua adui halisi tutachezeshwa msegemnege na huyo adui ambaya si mwingine ni CCM
 
Mwamba unateseka Zuchu alikunyima number nini?
 
Ila maigizo ya manabii feki kina mwamposa, Geor Devie, Kiboko ya Wachawi mnayaruhusu?.
Acha aigize mbona wengi wanaigiza huko, kwanza hajatumia msalaba katumia jumlisha
Kila mtu anapiga hela kivyake kupitia msalaba
 
msalaba ni alama ya masonic mkuu chunguza vizur.........masonic na mashetan chombo chao n msalaba.......jua kutofautisha kati ya msalaba na neno la msalaba .....makanisa yenu yamejaa alama za masonic( misalaba)
 
Majoho ya madhabahu!. Madhabahu ipi?? Misalaba ipi? Hata Calvary kulikua na misalaba mitatu. Anautumia upi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila hapo kakosea ingawa mimi si mfuasi wa hizo dini za kuja. Ni busara sana kuheshimu imani za wengine. Hakuwa na haja kabisa kutumia hayo mavazi kama kweli aliyatumia.
 
Sijaona tatizo mbona? Hiyo ni alama ya msalaba au jumlisha? Kumbuka kuna wasabato hawatumii alama ya msalaba.
 
Wewe umejuaje kuwa msanii huyo ni mwislamu. Jina au imani yake?
Mbona haonyeshi kwenye hiyo picha kuwa yeye ni wa dini hiyo?

Siku nyingine mwambie atumie alama na sare za CCM kueleza hayo yaliyo kuudhi wewe.
Umejuaje kama yeye pia ni mwana CCM?
 
Siku wakristo mkiujua ukweli kuhusu idadi yenu mtashangaa! Let's hope viporo mliolishwa havitowafanya mvimbiwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…