Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unapinga manabii feki na kuunga mkono ccm basi jua tu hauna akili hao manabii feki ni tawi la ccm na vibari vya kufanya hayo mambo ya kihuni wanapewa na CCM ndiyo maana huoni chochote cha maana wanacho fanywa ...ukristo wa kweli una nguzo zake namojawapo ni FANYA KAZI SIKU SITA YA SABA NI KWA BWANA ila leo makanisa feki yana fanya tofauti na hayo maagizo na yana baraka zote kutoka ccm ..makanisa yanakuwa open kila siku watu wanadaiwa sadaka kila siku .. ...mbona bongo flava wakiimba nyimbo za kizalendo wanadhibitiwa pspo hspo kuna yule ney anaimba nyimbo wala hazina matusi ila ccm inamzibiti amjiulizi hawa manabii feki ni mpango kamili wa ccm nikama ilivyo bakwata ni tawi la ccm ...tulifundishwa na serikali pamoja na ccm kuwa kuna maadui watatu nso niIla maigizo ya manabii feki kina mwamposa, Geor Devie, Kiboko ya Wachawi mnayaruhusu?.
Acha aigize mbona wengi wanaigiza huko, kwanza hajatumia msalaba katumia jumlisha
Umeandika gazeti refu ila Wrong message, mi siwezi kuwa mpumbavu wa Ccm wala mjinga wa ChademaKama unapinga manabii feki na kuunga mkono ccm basi jua tu hauna akili hao manabii feki ni tawi la ccm na vibari vya kufanya hayo mambo ya kihuni wanapewa na CCM ndiyo maana huoni chochote cha maana wanacho fanywa ...ukristo wa kweli una nguzo zake namojawapo ni FANYA KAZI SIKU SITA YA SABA NI KWA BWANA ila leo makanisa feki yana fanya tofauti na hayo maagizo na yana baraka zote kutoka ccm ...mbona bongo flava wakiimba nyimbo za kizalendo wanadhibitiwa pspo hspo kuna yule ney anaimba nyimbo wala hazina matusi ila ccm inamzibiti amjiulizi hawa manabii feki ni mpango kamili wa ccm nikama ilivyo bakwata ni tawi la ccm ...tulifundishwa na serikali pamoja na ccm kuwa kuna maadui watatu nso ni
1)ujinga
2)maradhi
3)umasikini
Kumbe mzazi wa hao maadui watatu ni CCM sema hao maadui watatu ni watoto wa nje ya ndoa ...CCM inao watoto wawili wa ndani ya ndoa nao ni UFISADI NA RUSHWA...Hivyo yoyote apambanaye na hao maadui ajue tu kuwa anapambana na CCM
Sikusema wewe ila nimesema kama unachukia manabii feki basi jua tu kuwa ilo ni tawi la ccm ....kazi ya serikali ni kudhibiti kila uovu na matendo yasiyo ya haki ...swali je hao manabii feki wanavyo vibari vya serikali katika hayo wafanyayo ..wamepewa na nani ? Na kwa lengo gani ? Kama wananchi tumeweza kuwajua kuwa ni manabii feki iweje serikali iliyo wapa vibari isijue.Umeandika gazeti refu ila Wrong message, mi siwezi kuwa mpumbavu wa Ccm wala mjinga wa Chadema
🤣🤣🤣sasa zuchu ndio akuvuruge had upost jukwaa la siasa?
🤣🤣🤣🤣Acha makasiriko mpendwa,hayo ni majaribu tu na yatapita
Mwamba unateseka Zuchu alikunyima number nini?Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).
Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance
Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.
Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.
USSR
View attachment 3130094
🤣🤣🤣anza na huyu
View attachment 3130139
Jibu lako limekaa kiandamiziUmeandika gazeti refu ila Wrong message, mi siwezi kuwa mpumbavu wa Ccm wala mjinga wa Chadema
😂😂😂😂😂😂sasa zuchu ndio akuvuruge had upost jukwaa la siasa?
Kila mtu anapiga hela kivyake kupitia msalabaIla maigizo ya manabii feki kina mwamposa, Geor Devie, Kiboko ya Wachawi mnayaruhusu?.
Acha aigize mbona wengi wanaigiza huko, kwanza hajatumia msalaba katumia jumlisha
msalaba ni alama ya masonic mkuu chunguza vizur.........masonic na mashetan chombo chao n msalaba.......jua kutofautisha kati ya msalaba na neno la msalaba .....makanisa yenu yamejaa alama za masonic( misalaba)Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).
Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance
Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.
Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.
USSR
View attachment 3130094
Ila hapo kakosea ingawa mimi si mfuasi wa hizo dini za kuja. Ni busara sana kuheshimu imani za wengine. Hakuwa na haja kabisa kutumia hayo mavazi kama kweli aliyatumia.Majoho ya madhabahu!. Madhabahu ipi?? Misalaba ipi? Hata Calvary kulikua na misalaba mitatu. Anautumia upi?😂😂😂
Umejuaje kama yeye pia ni mwana CCM?Wewe umejuaje kuwa msanii huyo ni mwislamu. Jina au imani yake?
Mbona haonyeshi kwenye hiyo picha kuwa yeye ni wa dini hiyo?
Siku nyingine mwambie atumie alama na sare za CCM kueleza hayo yaliyo kuudhi wewe.
Siku wakristo mkiujua ukweli kuhusu idadi yenu mtashangaa! Let's hope viporo mliolishwa havitowafanya mvimbiwe!!Serkali ipige marufuku wasanii hasa waislamu kuimba nyimbo zenye muelekeo wa kutunza sisi wakristo dini yenye idadi kubwa hapa nchini licha ya upole wetu (Vita yetu sio ya damu na nyama bali falme za kiroho ).
Kuna msanii aliimba kuwa kidemu chake kilokole kikilewa kinahubiri ilikuwa offance
Leo zuhura msanii alikatazwa kuimba nyimbo Zanzibar kwa kutukana jukwaani na kusema hakuna hakuchukua mme wake hata akimpa mkundu.
Leo anakuja na mavazi ya madhabahu na misalaba ishara ya ushindi kwa wakristo kuimba matusi.
USSR
View attachment 3130094