Na-update list yangu:
1. Kutompenda na kumchukia Diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa bei rahisi.
2. Kutoipenda na kuichukia Clouds FM ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa makusudi
3.
4.
5.
Boss wa Bongo5 ni Luca mume wa Nancy... Na pia Nancy yupo pale kama mfanyakazi wao pia kumsaidia mumewe.
Unajua hii Bongo 5 haiko ki'local' kivile,na inadeal na mainstream ya kivyaovyao....My point is....hata watakao vote watakuwa ki'Bongo 5'(bado si watu?,so siiiio mbaya)....ukiniuliza napenda kipindi gani nitakwambia cha Vanessa Mdee....Suprised?No dont be sababu watu kama mimi tupo wengi tu wa kutosha kupiga kura........
So my dear ones,ni tunzo ya watu flani kwa mashabiki flani......ndio maana mi naona fureeeeeeeshy....
bongo5 ni magazine kama lile la babkubwanauliza tuu maana kuna vitu huwa vimenipitia mbali hii bongo 5 ni kipindi cha luninga? kama ni ndio kionyeshwa na luninga gani? natanguliza shukrani!!!!
kama haiko ki'local inapatikana nchi ngapi hapa duniani?Unajua hii Bongo 5 haiko ki'local' kivile,na inadeal na mainstream ya kivyaovyao....My point is....hata watakao vote watakuwa ki'Bongo 5'(bado si watu?,so siiiio mbaya)....ukiniuliza napenda kipindi gani nitakwambia cha Vanessa Mdee....Suprised?No dont be sababu watu kama mimi tupo wengi tu wa kutosha kupiga kura........
So my dear ones,ni tunzo ya watu flani kwa mashabiki flani......ndio maana mi naona fureeeeeeeshy....
Aaaah mtake radhi nancy.....Nancy is there as 'partner' wa Luca Neghesti........mfanyakazi sounds too low....huuuhuuuuu...
kama haiko ki'local inapatikana nchi ngapi hapa duniani?
Super Mixx ya Zembwela na Irene mbona sioni.....Ni kipindi kinachopamba sana..
T ain't change anything... Hata nkisema housegal wake.
hujajibu swali mimi naona unakata viuno na kujambajamba tu hapa.Kinyume ya 'local' si sawa na kinyume cha LOCAL......what i meant ni kwamba wamejiclassify kimujinimujini.....kimatamatawi......ki'kfckfc......get it?...wametupia wa kiswaziswazi kiduchu but wakaegemea ki'kujuanakujuana zain'........still confused?...haaahaaaa.......