Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Mi naona hii ni njia nyingine ya wasanii kwenda kujionesha kwenye red carpet tu basi.. Maana hizo catergory hapo juu nyingi hao nominees hawastahili kuwepo.. Labda waseme tuzo za kushow Off
 
Jahazi la clouds fm, mitikisiko ya pwani ya Dida, Super Mix ya Zembwela naunga mkono hoja
 
Na-update list yangu:
1. Kutompenda na kumchukia Diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa bei rahisi.
2. Kutoipenda na kuichukia Clouds FM ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa makusudi
3.
4.
5.
 
Kuna kaukweli hapa ila si chuki sometimes....'maoni makali'...heeeheeee
 
Boss wa Bongo5 ni Luca mume wa Nancy... Na pia Nancy yupo pale kama mfanyakazi wao pia kumsaidia mumewe.

Aaaah mtake radhi nancy.....Nancy is there as 'partner' wa Luca Neghesti........mfanyakazi sounds too low....huuuhuuuuu...
 
Unajua hii Bongo 5 haiko ki'local' kivile,na inadeal na mainstream ya kivyaovyao....My point is....hata watakao vote watakuwa ki'Bongo 5'(bado si watu?,so siiiio mbaya)....ukiniuliza napenda kipindi gani nitakwambia cha Vanessa Mdee....Suprised?No dont be sababu watu kama mimi tupo wengi tu wa kutosha kupiga kura........
So my dear ones,ni tunzo ya watu flani kwa mashabiki flani......ndio maana mi naona fureeeeeeeshy....
 
RADIO FREE HAINA VIPINDI VYA MAANA? Pia mbona watangazaji wa radio free hayupo hata mmoja kwenye hiyo orodha? To be honest i real appreciate this radio station and some of its watangazaji.
 
nauliza tuu maana kuna vitu huwa vimenipitia mbali hii bongo 5 ni kipindi cha luninga? kama ni ndio kionyeshwa na luninga gani? natanguliza shukrani!!!!
 
bongo5 ni magazine kama lile la babkubwa
 
RADIO FREE HAINA VIPINDI VYA MAANA? Pia mbona watangazaji wa radio free hayupo hata mmoja kwenye hiyo orodha? To be honest i real appreciate this radio station and some of its watangazaji.
Hata mimi nimeshangaa sana kama wewe
 
Unajua hii Bongo 5 haiko ki'local' kivile,na inadeal na mainstream ya kivyaovyao....My point is....hata watakao vote watakuwa ki'Bongo 5'(bado si watu?,so siiiio mbaya)....ukiniuliza napenda kipindi gani nitakwambia cha Vanessa Mdee....Suprised?No dont be sababu watu kama mimi tupo wengi tu wa kutosha kupiga kura........
So my dear ones,ni tunzo ya watu flani kwa mashabiki flani......ndio maana mi naona fureeeeeeeshy....
kama haiko ki'local inapatikana nchi ngapi hapa duniani?
 
Super Mixx ya Zembwela na Irene mbona sioni.....Ni kipindi kinachopamba sana..
 
kama haiko ki'local inapatikana nchi ngapi hapa duniani?

Kinyume ya 'local' si sawa na kinyume cha LOCAL......what i meant ni kwamba wamejiclassify kimujinimujini.....kimatamatawi......ki'kfckfc......get it?...wametupia wa kiswaziswazi kiduchu but wakaegemea ki'kujuanakujuana zain'........still confused?...haaahaaaa.......
 
hujajibu swali mimi naona unakata viuno na kujambajamba tu hapa.
 
Unajua hii Bongo 5 haiko ki'local' kivile,na inadeal na mainstream ya kivyaovyao....My point is....hata watakao vote watakuwa ki'Bongo 5'(bado si watu?,so siiiio mbaya)....ukiniuliza napenda kipindi gani nitakwambia cha Vanessa Mdee....Suprised?No dont be sababu watu kama mimi tupo wengi tu wa kutosha kupiga kura........
So my dear ones,ni tunzo ya watu flani kwa mashabiki flani......ndio maana mi naona fureeeeeeeshy....

Its like they don understand jaman....how can u compare Vanessa na zembwela anaetajwatajwa hapa ptuuuu!!!,for me hamna local redio class kama choice fm with super presenters and yes Vannesa is the best not to mention babbie Kabae
 
Back
Top Bottom