Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mimi kwako nimekufa nimeoza sijiwezi.Mshangazi dot com uliwahi kuniambia hunipendi,kumbe sio kweli?
ungeandika in caps ili hivi vitoto vipunguze usumbufu. Anyways leo nimefanya kulala tuMimi kwako nimekufa nimeoza sijiwezi.
Ulikuwa wapi leo?
Hadi wewe innocent boy huwa wanakudanganya πNakupenda, siwezi ishi bila wewe mpenziπ€
Usijali, siku moja ukinifurahisha sanaungeandika in caps ili hivi vitoto vipunguze usumbufu. Anyways leo nimefanya kulala tu
Huu uongo mbaya sana!Nitakuwa mke bora.
A classic lie πSijawahi kupenda/kujisikia hivi na mtu mwingine zaidi yakoπππΎ
π π π ukaogopa nini sasa?Kuna demu aliniambia niende kwake nikaone jiko la kuni lisilotoa moshi, nikaona Huyu anataka kuniharibia uvulana Wangu nikakimbia
Sie na kukunjana tena, huruma hapo huwa hakuna kabisa.mshangazi usivyo na huruma kabisaaπ
View: https://www.instagram.com/reel/DJrjpjPseK-/?igsh=dnNmZjVqaWplYjZx
Huwa wanasema msimwage ndani kumbe wanataka mmwage au umemaanisha nini?Babe usimwage ndani