Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo

Kuna manzi mmoja kitu bwawa ,sasa kila nikiingiza kiduchu tu anapiga mayowe balaa na mimi kwa unafiki wangu akawa akiangalia pembeni namzomea ile ya kimya kimya.Baada ya game ananiuliza umeenjoy eeeh? Nikazidisha unafiki mara 10 nikamwambia kwa mara ya kwanza leo ndio nimeenjoy mapenzi toka nizaliwe.Aliponipa mgongo tu nikafuta na namba shenzi kabisa dada lisanii lile.
Oiii.
 
Oooh babes πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ˜” pole sana jamani.
Utakaa sawa tu, nakuombea upone haraka urudi, kunapwaya bila wewe. .

Ugua pole mami wangu, nakupenda pia πŸ’•β€οΈπŸ«Ά
 
Oooh babes πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ˜” pole sana jamani.
Utakaa sawa tu, nakuombea upone haraka urudi, kunapwaya bila wewe. .

Ugua pole mami wangu, nakupenda pia πŸ’•β€οΈπŸ«Ά
Asante sana mamii.
Nashukuru sana❀️❀️❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…