See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,820
Mimi sijazeeka na nyapu yangu bado haina makunyanzi.Aunt : mwanamke akazeeka na nyapu inakua na makunyanzi? Speak from your own experience.
Asante sana nimeridhika na jibu na nimefurahi sana.
- Nilikua busy sana kati ya 2012 -2020 na sikua mtandaoni.
- Baada ya hapo nilikua na parody for some time kwasababu nilisahau email ya hii account π .
Lazima niwajibike mara moja moja kuweka akili sawa πKwamba mkuu na wewe ni chaumma πππ
Na vipi mtu alitaka kuthibitisha hilo anaweza kupata fursa kutoka kwako?Mimi sijazeeka na nyapu yangu bado haina makunyanzi.
Nani alikudanganya kwamba mwanamke anakupa nyapu sababu amekuonea huruma?Nimesahau lini nilimwaga zigo wanawake wa mtaani kwetu hawana huruma na mimi π
πKadi ya chama ni muhimu hata ukioa unahifadhi kabatini mambo yakiwa siyo shwari unairudia πLazima niwajibike mara moja moja kuweka akili sawa π
Hebu usituache njiani, malizia hiyo stori kwanza πππKwanza nncheke πΉπΉ
Mimi bhana niliwahi kuwa na mahusiano na handsome mmoja anafanya kazi AAR enzi hizo, wa kishua sana gari kaanza kudrive ana 13yrs.
Hata vi safari vya best bite na beach za kigambonino tulikuwa tunabebana sana..!!
Sasa katika kutoana sealed kila tukijaribu inashindikana coz mimi kuku mgeni na naogopa hatari..!! (Hii kitu hata akiniita natamani kuonana naye tatizo nikifikiria hizo mbilinge naishiwa pawa) Japo mpenzi nampenda π₯°
Basi tunaishia kusukumana na kuparuana, kuna siku mpk tulichana skirt zipu ikaachia halafu lilikuwa mino la jeans..!! πΉ
Sijui nimalizie story, huyu mbwa ukute ananichora hapa halafu anifate tuanze kugombana tena mana kichaa hata haogopi..!! πΉπΉ
Ndio maana nakupendaga bint wa zamani haya nipe code hizo na Mimi nianze kupendwa niache kutia huruma πNani alikudanganya kwamba mwanamke anakupa nyapu sababu amekuonea huruma?
Ukiipata na mimi unishtue maana nimeisahau ππnatafuta ID yako ya zamani kwanza..ππ
Ngoja niangalie km Tito Magoti anapokea simu, hii kesi bila mwanasheria wa kueleweka sitoboi nishaona mapema..!! πΉπΉπΉHebu usituache njiani, malizia hiyo stori kwanza πππ
Hebu muache, amesema mara moja moja πππ π Kwani wewe huwa hufanyagi?Kwamba mkuu na wewe ni chaumma πππ