Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Ukijibiwa vibaya na mm Usilie
0D60F04E-A202-48D3-912B-57A3AA937874.jpeg
 
Swali dosho12 sijui kwa nini wengine sisi na uanaume wetu ilio strong lakini tukipata upenyo wa kulia baada ya kuzidiwa na changamoto tukipata faragha tunapo amini hatuonekani chozi linashuka haswa ! Sijui kwa nini lakini kuna faraja kubwa sana baada ya kulia.
Kuna mkaka nilikua namdate akaja kwangu, sijui alikua anapitia magumu gani. Alijilaza akaanza kulia kwa sauti kama dakika 15 hivi, baadaye akanyamaza na hakutaka kuongelea tena kilichomliza.

Baada ya muda akawa sawa tu kama siyo yeye aliyekua analia. Niliogopa ila pia nilifarijika kwamba amejisikia amani kiasi cha kutosha kurelease yaliyokua ndani yake.
 
Kwanza nncheke 😹😹

Mimi bhana niliwahi kuwa na mahusiano na handsome mmoja anafanya kazi AAR enzi hizo, wa kishua sana gari kaanza kudrive ana 13yrs.
Hata vi safari vya best bite na beach za kigambonino tulikuwa tunabebana sana..!!

Sasa katika kutoana sealed kila tukijaribu inashindikana coz mimi kuku mgeni na naogopa hatari..!! (Hii kitu ilininyima amani hata akiniita natamani kuonana naye tatizo nikifikiria hizo mbilinge naishiwa pawa) Japo mpenzi nampenda 🥰

Basi tunaishia kusukumana na kuparuana, kuna siku mpk tulichana skirt zipu ikaachia halafu lilikuwa mino la jeans..!! 😹

Sijui nimalizie story, huyu mbwa ukute ananichora hapa halafu anifate tuanze kugombana tena mana kichaa hata haogopi..!! 😹😹
Wanawake Hamna siri
7BCE151F-271E-40FE-8B7E-073BC1D87110.jpeg
 
Back
Top Bottom